Ushauri, nina wivu uliopitiliza

Mkuu kata mgomba aisee utakua na uhakika asilimia 💯 uko salama na mali yako
 

Uanchokitafuta utakipata
 
Hata chooni nenda nae mkuu, vinginevyo nzi wanaweza kuzengea zengea mali yako.
 
Mi natamani niwe na wivu hata kidogo nashindwa kabisaaa,
 
Ingawa mimi mwanaume lakini wewe uko sahihi

Kwanini amtazame mwanamke mbele yako? Kwanini amshike mbele yako? Kwanini amsifie mwanamke mbele yakk?

Kwa mwendo huo mwanamke/mwanaume yeyote atakuwa na wivu tu

Mfano mwanamke wangu kwanini amsifie mwanaume mwingine mbele yangu? Hiyo sio busara, sio kwamba hatuoni wanawake wazuri kuliko wetu na sio wanawake hawaoni wanaume wazuri kuliko sisi lakini busara na akili ni kutoonyesha mbele ya mtu wako


Kuhusu mtoa mada ana utoto tu
 

Umemkuta bikra?tuanzie kwanza hapo usije ukawa unaangaika kulinda bahari
 
Hahaha acha hizo Demi
Kweli nakwambia maana utakuwa unamboa kinoma, ni rahisi kujenga urafiki na wanaume ambao hawamkeri.
Pia hutajua tabia zake kamwe, ataishi kinafiki na kukuficha mambo mengi. Be strict lkn sio hadi kuingilia uhuru wake binafsi.
Wewe ukifanyiwa hivyo na mkeo/mpenzi am sure utamuacha baada ya wiki.
 
Uko sahihi lakini hujanielewa mie hata kwenye mijadala ya kawaida sitaki aweke umakini kwa mwanamke yoyote huwa nawaza kuwa ningekuwa mwanamke peke yangu hapa chini ya jua akaniona Mimi tu peke yangu, ana baby mama mwenye kisirani Basi natamanigi nikate sehemu ya kibolo kilichomtundika mimba ili kukikomesha😏 simghasi kabisa ila wivu ukipanda nakuwa hivyo😤😤
 
ukiona dem una wivu naye sana kutokana na kumpenda likely ujue huyo dem anao huo mpango wa mabwana, na uyo hakufai kwa ndoa, ukija ukimuoa utakuwa na ugonjwa kuliko huo hutafanya jambo lolote la maana wewe itakuwa siku zote unamlinda huyo mwanamke ambaye actually huwezi kumlinda ata nukta 1, ni kujidanganya tu watu watakula tunda tu.
 
Bado uko sahihi kwanini aweke umakini kwa mwanaume mwingine

Ukiongea navaa viatu vyako kwamba inakuwaje naongea na mwanamke wangu anaweka umakini kwa mwanaume mwingine[emoji1][emoji1]

Labda kama bado sijakuelewa ila nilichoelewa kutazama mwanamke mwingine sio tatizo ila kuweka umakini hilo tatizo sio wewe tu ni wanawake wengi wako hivyo
 
Kwakweli sitaki utani na penzi langu😜😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…