Ushauri: Ninampenda sitaki kumpoteza kwani tumeshafanya mambo mengi

Habari zenu wanajamii ninaomba msaada wenu nilikua na mpenzi wangu niliyempenda sana na tumepanga malengo mengi sana kiasi kwamba nikatulia nae lakini wiki moja iliyopita nikakuta sms za kimapenz na mtu mwengine nilichukua maamuzi mabaya yampiga kofi moja nakumpokonya cm kwahasira lakini kesho yake nikazungumza nae ili nimuombe msamaha nahivi ndivyo alivyonijibu.

“MIMI ninakupenda sana tu na hata huyu uliyekuta sms zake anajua jinsi ninavyokupenda lakini kwa ulichonifanyia moyo wangu haupo tena kwako Upo kwa huyu coz we ilinisema vibaya ila huyu alinibembeleza ila kama unaweza nipe mda kama Kweli unanipenda “

Najaribu kumasahau nashindwa coz nilimuamini sana nabado ninampenda sitaki kumpoteza coz tushafany mamb mengi sana yamaisha na hata starehe pia…😩. ikimpigia cm neno lake kubwa tusiongelee kilichotokea utanikwaza tuendelee kuishi sasa sijui nifanyaje nahitaji nifike nae mbali kiujumla hasira zangu ndo zimeniponza.

Naombeni ushauri jamni 🙏🙏🙏🙏
Mbona nyie vijana wa sasa mnakuwa rojo rojo sana, tepe tepe , hamna zile element za kiume, acha mteswe tu, wenzio kila sekunde mademu wanatupigia magoti na kutunyenyekea, hivi mnakosea wapi... Hizi mada zenu za kulialia wanafaa mabinti wawe wanatafuta ushauri wa namna hii.
 
Habari zenu wanajamii ninaomba msaada wenu nilikua na mpenzi wangu niliyempenda sana na tumepanga malengo mengi sana kiasi kwamba nikatulia nae lakini wiki moja iliyopita nikakuta sms za kimapenz na mtu mwengine nilichukua maamuzi mabaya yampiga kofi moja nakumpokonya cm kwahasira lakini kesho yake nikazungumza nae ili nimuombe msamaha nahivi ndivyo alivyonijibu.

“MIMI ninakupenda sana tu na hata huyu uliyekuta sms zake anajua jinsi ninavyokupenda lakini kwa ulichonifanyia moyo wangu haupo tena kwako Upo kwa huyu coz we ilinisema vibaya ila huyu alinibembeleza ila kama unaweza nipe mda kama Kweli unanipenda “

Najaribu kumasahau nashindwa coz nilimuamini sana nabado ninampenda sitaki kumpoteza coz tushafany mamb mengi sana yamaisha na hata starehe pia…😩. ikimpigia cm neno lake kubwa tusiongelee kilichotokea utanikwaza tuendelee kuishi sasa sijui nifanyaje nahitaji nifike nae mbali kiujumla hasira zangu ndo zimeniponza.

Naombeni ushauri jamni 🙏🙏🙏🙏
DARASA LA SABA WANAFANYA MTIHANI MWEZI HUU
20230802_215145.jpg
 
I feel no sympathy for you, una uoga sana. Maisha lazima yaendelee whatever may be the reason, you need not think that it's the end of life

Kwa kifupi huyo si wako, you don't need to look for love, love will find you
 
Back
Top Bottom