Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Hello JF,
Leo nimejikuta nawaza sijui kama hii serikali haioni kuwa ni haki ya kila mtoto wa ki Tanzania kupata na Elimu nzuri/bora? kwa nini baadhi ya watoto wachache wawe na a better start na wengine system iwa fail miserably? Anyway, hata nchi za nje kuna shule za private za grammar lakini still serikali inahakikisha watoto wote wana access to quality and FREE education.
Binafsi nadhani hili swala la elimu kabisa lipo ndani ya uwezo wa serikali basi tu ni UBINAFSI wa viongozi wetu.
Labda tu assume, serikali inataka kujua why shule nyingi za private zinafanya vizuri? Ningependa tuchangie mawazo jinsi/wapi serikali inafeli na suggestions for improvements, mawazo yangu ni haya:
1. Shule nyingi za private zinazo perform vizuri zimejengwa mbali na miji, in isolated places. Hii inazuia distractions kutoka kwa watu, magari etc
2. Shule za private zinazofanya vizuri nyingi zina mazingira yaliyojengwa vizuri na gardens. Gardens huwa zinatuliza nafsi. Nafsi inakua na amani, kuna studies zinazolink gardens/ good buildings na impact kwenye learning.
3. Discipline: Shule za private zinazofanya vizuri nyingi ni kama jeshi, watoto wana structured days and nights, anajua saa fulani inatakiwa kuwa sehemu fulani, no alternative! Shule za serikali wana muda mwingi/Freedom kufanya mambo yao.
4. Uhaba wa vitabu/vifaa vya maabara ni UZEMBE wa serikali, ingeweza kabisa kuongeza ada kidogo kulipia hivi vitu, hao Private wanalipa fees kubwa, lakini zote zinakuwa channelled properly. Kama mnataka watoto wafaulu hakuna kukwepa lazima u-invest in them!
Nyingine ongezeeni. Lol