Asante sana kwa ushaurKama kina ukubwa huo (almost 20m x 20m) kwa bei hiyo kinunue haraka. Probably hakijapimwa na unaweza kufuatilia hati mapema ili kukiongezea thamani. Achana na biashara ya Bodaboda kwa sasa. Itakutia mawazo tu.
Poa mkuu nitazingatia kesho mapema tu naenda kukiona na watu wangu wazoefu wa hizi habaritehe...teh....kwa mazingira yako nunua kwanza hicho kwakuwa bado unaogopa kuwahi kijijini lakini zingatia pia yafuatayo:-
je kiwanja kinafikika? isije ikawa kiwanja hakina njia ya kupita, gharama za ujenzi zinaweza kuwaje kama utaamua kujenga kina mwinuko,bondeni, tambalale.? huduma za maji na ubebaji wa maji ukoje wakati wa ujenzi? je mipango ya serikali katika eneo hilo ikoje isije ikawa barabara inapita ndo mana wanauza? kuwa na uhakika na taarifa sahihi za mmiliki.
Ngojea nitafuatilia kwa undani zaidi,japo kua ni rafiki yangu wa karibu simuamini sana pia hela yangu nilivyoipata kwa tabu siwezi itoa kizembezembe namna hiyoUsitake kujua uhalali wa bei mkuu,cha msingi ni kujua hilo eneo anayr limiliki analimiliki kihalali au kimagumashi na kama hakuna mgogoro nadhani haliwezi kuuzwa kwa bei hiyo ,kwa maana nyingine unanunua kesi.
Ngojea kesho niende nitaleta mrejeshoIyo bei na ukubwa wa kiwanja ni vitu tofauti unatapeliwa ndugu
Yani akae miaka mitano kusubiri milioni 5Nunua kiwanja after 5years utakiuza 5 ml,
Achana na hiyo biasharaIla mkuu kwa biashara kama ya bodaboda baada ya miaka mitano itakua imenizalishia zaidi ya hiyo 5mil! Au vipi?
yani kwa mwaka upate milion tano hiyo biashara haifaiNunua kiwanja after 5years utakiuza 5 ml,
Ndugu unaweza nifafanulia kidogo hicho kiwanja kinavyoweza kua regarded as liabilityKununua kiwanja ambacho hakizalishi chochote ni = kununua liability badala ya asset, lakini pia kufanya biashara ya bodaboda kwa mtaji huo bila wewe mwenyewe kuwa dereva utakuwa unataka kufanya liability bussiness badala ya asset bussiness, hebu fikiria je bodaboda au kiwanja ama kitu kingine, kipi kati ya hivyo kitakuwa asset kwako?
Mkuu hili ndilo zingatio langu la kwanzaKuwa mwangalifu na ununuzi wa viwanja ...usiende kichwa kichwa ukakosa bodaboda, kiwanja, na fedha!