Bei ni nzuri mkuu ila tatizo huko kilipo kiwanja ndio mtihani maana kuna sehemu hazipitikNunua KIWANJA.pia hiyo Bei ni nzuri sana kwako hata kama hakijapimwa.kwa wastani utakuwa umenunua square meter moja chini ya Tsh 840
au pia itakua imekulaza hospitaliIla mkuu kwa biashara kama ya bodaboda baada ya miaka mitano itakua imenizalishia zaidi ya hiyo 5mil! Au vipi?
Umenena mkuu asanteAcha ujinga... zungusha pesa.... kiwanja ndio nini.... yaaani hadi utakua na wajukuu bado ardhi itakuwepo tu...
Tatizo la vijana munapenda saana mjini.... wakati hujui kuwa hata mdaula kutakua mjini tu kabla haujapata pesa....
Wanaowekeza asset ni watu wanaojimudu kimaisha... mwenzangu na mimi kajamba nani pangu pakavu umeokota m2 badala ya kuizungusha ijae unawaza kiwanja.... nunua ule mavi.....
Dadek
Huo ndio ukweli wa hali unapata milioni 5 unakimbilia kiwanja,sijui utakula hicho kiwanjaAcha ujinga... zungusha pesa.... kiwanja ndio nini.... yaaani hadi utakua na wajukuu bado ardhi itakuwepo tu...
Tatizo la vijana munapenda saana mjini.... wakati hujui kuwa hata mdaula kutakua mjini tu kabla haujapata pesa....
Wanaowekeza asset ni watu wanaojimudu kimaisha... mwenzangu na mimi kajamba nani pangu pakavu umeokota m2 badala ya kuizungusha ijae unawaza kiwanja.... nunua ule mavi.....
Dadek
Kama haifai hiyo bodaboda anayotaka Kununua atapata shingngapi kwa mwaka.yani kwa mwaka upate milion tano hiyo biashara haifai
Biashara kichaa hiyo mkuu. Inamaana ndani ya miaka mitano atakuwa kapata faida ya 3mil ambayo ni sawa na 50k kwa mwezi. Wakati huo 3mil haitakuwa na thamani sawa na sasa.Nunua kiwanja after 5years utakiuza 5 ml,
Mbali na hiyo hela unabiashara nyingine? Na je ukinunua kiwanjwa unampango wa kujenga hivi karibuni. Je ukinunua bodaboda baada ya mdacgani itarudisha hela yako na utakuwa umepata faida kweliHabari,
Nina kiasi kama sh mil2 hivi, nilikua nina mpango wa kufanya biashara ya bodaboda lakini kuna rafiki yangu wa karibu tu ameniambia kwamba mama yake ana kiwanja anakiuza kipo maeneo ya Mbande Dar es salaam, bei yake ni mil1.3 na kina ukubwa wa futi 60 kwa 60 ndio maelezo yake aliyonipa so imenibidi nije humu jf kwa msaada zaidi.Kwa hiy Kwanza kabisa naomba kujuzwa kama hicho kiwanja na hiyo bei vinalingana? Kama hiyo bei ya kiwanja ni sawa je nifanye nini kati ya hayo?
Hapana sina biashara nyengine mkuu, nipo napiga kazi tu za kuajiriwa pia sina mpango wa kujenga kwa sasa maana sina pesa.Mbali na hiyo hela unabiashara nyingine? Na je ukinunua kiwanjwa unampango wa kujenga hivi karibuni. Je ukinunua bodaboda baada ya mdacgani itarudisha hela yako na utakuwa umepata faida kweli
Shukrani, madini yote haya munayoyashusha nayatafakari kwa kina wakuu asanten sanNdugu Zeroth,
Unaponunua chombo cha moto,ukitoka tu kwa muuzaji thamani ya chombo inashuka. Kwa Kiswahili rahisi ni hivi; ukinunua bodaboda kwa shilingi 1.2 milioni ukirudi kesho yake hapo hapo uliponunua ukitaka kuirudisha au kuwauzia tena watakupa bei ya shilingi 1 milioni.
Lakini ukiwekeza kwenye kitu Kama ardhi ni kwamba kila siku inayoenda kwa Mungu thamani inaongezeka.
Kwa hiyo ushauri wangu ni kama wadau wengine waliotangulia kama iko ndani ya uwezo wako nunua Ardhi.