Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

Fanya biashara uyo rafiki yako tapeli kama unabisha utakuja niambie
 
Nunua KIWANJA.pia hiyo Bei ni nzuri sana kwako hata kama hakijapimwa.kwa wastani utakuwa umenunua square meter moja chini ya Tsh 840
Bei ni nzuri mkuu ila tatizo huko kilipo kiwanja ndio mtihani maana kuna sehemu hazipitik
 
Acha ujinga... zungusha pesa.... kiwanja ndio nini.... yaaani hadi utakua na wajukuu bado ardhi itakuwepo tu...

Tatizo la vijana munapenda saana mjini.... wakati hujui kuwa hata mdaula kutakua mjini tu kabla haujapata pesa....

Wanaowekeza asset ni watu wanaojimudu kimaisha... mwenzangu na mimi kajamba nani pangu pakavu umeokota m2 badala ya kuizungusha ijae unawaza kiwanja.... nunua ule mavi.....

Dadek
 
Umenena mkuu asante
 
Huo ndio ukweli wa hali unapata milioni 5 unakimbilia kiwanja,sijui utakula hicho kiwanja
 
Mkuu hapo juu nilisema liability bussiness kumaanisha biashara inayokugharimu tu bila kuingiza chochote, kwa mfano ardhi ambayo iko eneo lisilouzika, utailipia kodi kwa miezi mingi, utamlipa mlinzi/mwangalizi n.k lakini kwa uchumi wa kubangaiza nakushauri uwekeze kwenye cash flow.
 
Ndugu Zeroth,
Unaponunua chombo cha moto,ukitoka tu kwa muuzaji thamani ya chombo inashuka. Kwa Kiswahili rahisi ni hivi; ukinunua bodaboda kwa shilingi 1.2 milioni ukirudi kesho yake hapo hapo uliponunua ukitaka kuirudisha au kuwauzia tena watakupa bei ya shilingi 1 milioni.
Lakini ukiwekeza kwenye kitu Kama ardhi ni kwamba kila siku inayoenda kwa Mungu thamani inaongezeka.
Kwa hiyo ushauri wangu ni kama wadau wengine waliotangulia kama iko ndani ya uwezo wako nunua Ardhi.
 
Nunua kiwanja after 5years utakiuza 5 ml,
Biashara kichaa hiyo mkuu. Inamaana ndani ya miaka mitano atakuwa kapata faida ya 3mil ambayo ni sawa na 50k kwa mwezi. Wakati huo 3mil haitakuwa na thamani sawa na sasa.
 
Achana na biashara ya boda boda tumepack pikipiki bora ununue kiwanja labda biashara ya boda uendeshe mwenyewe
 
Mkuu nakushauri weka 1mil pembeni na itakayobakia fikiria biashara ya kufanya ambayo itakuwa na returns hatakama ni kidogo kisha ukiimudu utaongezea mtaji. Achana na wanaokushauri kiwanja. Unless kama una shughuli inayokuingizia kipato kwasasa na huna muda wa kuanzisha biashara. Kiwanja kitakaa hapo na mwisho wa siku utaishia kukiuza japo kwa bei ya juu lakini haina tofauti sana na thamani ya hiyo hela kwasasa.. Mfano 2mil kwasasa inawezakuwa na thamani sawa na 5mil miaka mi 5 ijayo. Wanaowekeza kwenye ardhi wengi wana mkwanja wa kutosha au wana biashara nyingine au ajira. Au kama vipi fanya kama ni biashara, ununue hicho kiwanja na ukiendeleze kisha ukiuze fasta na kununua kingine. Iwe ndo biashara yako.
 
Habari,

Nina kiasi kama sh mil2 hivi, nilikua nina mpango wa kufanya biashara ya bodaboda lakini kuna rafiki yangu wa karibu tu ameniambia kwamba mama yake ana kiwanja anakiuza kipo maeneo ya Mbande Dar es salaam, bei yake ni mil1.3 na kina ukubwa wa futi 60 kwa 60 ndio maelezo yake aliyonipa so imenibidi nije humu jf kwa msaada zaidi.Kwa hiy Kwanza kabisa naomba kujuzwa kama hicho kiwanja na hiyo bei vinalingana? Kama hiyo bei ya kiwanja ni sawa je nifanye nini kati ya hayo?
Mbali na hiyo hela unabiashara nyingine? Na je ukinunua kiwanjwa unampango wa kujenga hivi karibuni. Je ukinunua bodaboda baada ya mdacgani itarudisha hela yako na utakuwa umepata faida kweli
 
kama utaamua kununua kiwanja usitoe pesa bila mtaalamu kutoka ofisi za ardhi kulikagua na kuchukua vipimo na kuangalia katka masterplan ya mji kama ni eneo la makazi au matumizi mengine,au lipo katika mkakati gani wa serikali!
 
Mbali na hiyo hela unabiashara nyingine? Na je ukinunua kiwanjwa unampango wa kujenga hivi karibuni. Je ukinunua bodaboda baada ya mdacgani itarudisha hela yako na utakuwa umepata faida kweli
Hapana sina biashara nyengine mkuu, nipo napiga kazi tu za kuajiriwa pia sina mpango wa kujenga kwa sasa maana sina pesa.
Na nikinunua bodaboda ndani ya mwaka itakua imenirudishia pesa yangu na faida kama ya 1mil tu
 
Ndugu Zeroth,
Unaponunua chombo cha moto,ukitoka tu kwa muuzaji thamani ya chombo inashuka. Kwa Kiswahili rahisi ni hivi; ukinunua bodaboda kwa shilingi 1.2 milioni ukirudi kesho yake hapo hapo uliponunua ukitaka kuirudisha au kuwauzia tena watakupa bei ya shilingi 1 milioni.
Lakini ukiwekeza kwenye kitu Kama ardhi ni kwamba kila siku inayoenda kwa Mungu thamani inaongezeka.
Kwa hiyo ushauri wangu ni kama wadau wengine waliotangulia kama iko ndani ya uwezo wako nunua Ardhi.
Shukrani, madini yote haya munayoyashusha nayatafakari kwa kina wakuu asanten san
 
Back
Top Bottom