Ushauri: Ninunue nyumba au kiwanja?

Ushauri: Ninunue nyumba au kiwanja?

Jenga nyumba nje ya mji,ukijenga mjini kieneo kidogo utakuja kujilaumu mbeleni umri ukienda na familia imetanuka.Mji utakukuta tu na sio mbali within 5years mji unatanuka.
 
Salaam Jamiiforums,

Naombeni msaada wa mawazo, niko na njia mbili ila sijui niifate ipi?

Nimeitiwa mahali kuna kiwanja kinauzwa milioni 20, wakati huo huo nikaitiwa sehemu nyumba inauzwa milion 35. Je, niache kununua kiwanja ninunue nyumba?

Naombeni msaada wa mawazo.
Nunua nyumba halafu bomoa ujenge yako mpya.
 
Back
Top Bottom