Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
[emoji28][emoji28]Nunua kiwanja jenga nyumba uitakayo, hizi nyumba za kununua na haya mambo yetu ya kiswahili nguvu nyeusi unadhani utaishi kwa amani humo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28]Nunua kiwanja jenga nyumba uitakayo, hizi nyumba za kununua na haya mambo yetu ya kiswahili nguvu nyeusi unadhani utaishi kwa amani humo
Nunua nyumba halafu bomoa ujenge yako mpya.Salaam Jamiiforums,
Naombeni msaada wa mawazo, niko na njia mbili ila sijui niifate ipi?
Nimeitiwa mahali kuna kiwanja kinauzwa milioni 20, wakati huo huo nikaitiwa sehemu nyumba inauzwa milion 35. Je, niache kununua kiwanja ninunue nyumba?
Naombeni msaada wa mawazo.