Ushauri: Nioe yupi Kati ya hawa wanawake wawili?

Mwisho wa siku...
1 atakupiga na kitu kizito kichwani.
2 atakupiga na kitu chenye ncha kali kichwani..

Jipe muda kuchunguza mmoja baada ya mwingine.



Utastaajabu wote hawakufai.
 
Baada ya kuoa atakuja na thread ya msioe [emoji23]
 
wa miezi 3 hajakupa wa wiki amekupa.....si ndio??? au?
Huyu wa kwanza nilipomuuliza kama yupo tayari kuolewa na mimi aliniambia ameniamini nisijali kuhusu hilo muda ukifika nitamuoa.

Wa pili tumejuana muda mfupi ila kila napo muhitaji anakuja huyu yupo tayari kuolewa na mimi muda wowote pia kasema yupo tayari kuvumilia madhaifu yangu.
 
Una rangi gani mkuu mpaka imependwa hivyo? Hakuna kingine kakupendea huyo wa pili?

Una umri gani na unajishughulisha na nini?
Akikujibu nitag.maana wanawake wanapenda rangi walifia mv bukoba, wanawake tunajuana tabia zetu sio za kupenda rangi ya mwanaume
 
Wa 1 ni asilimia kubwa hakupendi na unavyozidi gharamia ndo kabisaaaaa unapoteza mvuto.KwanZa mwanamke akupende akuzungushe hivyo


Wa pili anaweza kuwa ana interest na wewe

Ila udhaifu wako wewe ni mzee wa kukurupuka Huna unalolijua kuhusu hao wanawake na mihemuko yako itaku cost sana,punguza wenge tulia relax kwanza na kwa mawenge yako hayo USioe yotote kati ya hao km huyajitimiza nae mwaka1
 
umewala?????
 
Pole Sana Kaka kwa mkanganyiko huo nataka nkusaidie kwamba mtu hapimwi kwakuja kwako marakwa Mara mke anapimwa kwa tabia nataka nkupe angalia faida na hasara za wote ndipo uchukue maamuzi yakuwa nae mmoja jiulize swli huyo anaekuja kwako Mara kwa Mara he akipata mchepuko mwingine hawezi kuwa mwepesi kwenda kwake Ivo basi Kuna watu wanaheshimu misimamo yao ili waweze kuwa mama Bora Asante
 
Una rangi gani mkuu mpaka imependwa hivyo? Hakuna kingine kakupendea huyo wa pili?

Una umri gani na unajishughulisha na nini?
Huyu lazima atakuwa maji ya kunde maana ndiyo rangi wadada wanashoboka nayo kwa wanaume.
 
Yakupasa kuwa mvumilivu kijana maisha ya ndoa utayafuraia pindi tu mnapoingia kwenye ndoa lkn badae mambo uja kujitokeza yale makucha yaliyofichwa apo sasa ndio utaanza kujuta wakati ndio ushaingia ndoani kaa chunguza kwanza kabla ya kufanya maamuzi yoyote alafu utakuja kushukuru badae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…