High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Tupe experience ilkuaje na ulitoboa vip?
Unataka kunambia hamna wanao toboa UDOM?Sasa hapo unatoboa vipi kama sio tu kukimbia
Wengi walimu waliosoma zamani wanaamini shida ndio kutoboa lakini saizi dunia imebadilika sana material ni mengi tena yanapatikana mtandaoni
Kutoboa ni Juhudi mkuuUnataka kunambia hamna wanao toboa UDOM?
Tafuta hela mkuu degree moja inatosha. In fact ukiwa na akili ya maisha hata form 4 tu unatoboa maisha vizuri sana
chief UDOM kuna pisi kali mnooo halfu zinajitunza sana
JF unapata elimu na burudani pia....Mkuu nimefurahia Ufafanuzi wako Kaka[emoji16][emoji12][emoji1787]