Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

Tupe experience ilkuaje na ulitoboa vip?

Sasa hapo unatoboa vipi kama sio tu kukimbia
Wengi walimu waliosoma zamani wanaamini shida ndio kutoboa lakini saizi dunia imebadilika sana material ni mengi tena yanapatikana mtandaoni
 
Sasa hapo unatoboa vipi kama sio tu kukimbia
Wengi walimu waliosoma zamani wanaamini shida ndio kutoboa lakini saizi dunia imebadilika sana material ni mengi tena yanapatikana mtandaoni
Unataka kunambia hamna wanao toboa UDOM?
 
Tafuta hela mkuu degree moja inatosha. In fact ukiwa na akili ya maisha hata form 4 tu unatoboa maisha vizuri sana

Hapana kaka…La 7 Tuu inatosha,Hiyo form 4 Kuna Ada za Kutosha Hapo kaka![emoji12][emoji30]
 
Aaaah! Nawachora mnashauriana ila mm binafsi makuu ya wasomi wa hapa tz
 
Back
Top Bottom