High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Tupe experience ilkuaje na ulitoboa vip?
Sasa hapo unatoboa vipi kama sio tu kukimbia
Wengi walimu waliosoma zamani wanaamini shida ndio kutoboa lakini saizi dunia imebadilika sana material ni mengi tena yanapatikana mtandaoni