Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

Hata kwa hilo swali napata hofu na hiyo masta yako

Nenda yudom
 
Mapichapicha yanaanza baada ya kumaliza coursework
Mara thesis haionekani
Mara ulituma softcopy imepotea mm email ziko nyingi Naomba hardcopy
Unapeleka
Baada ya miezi
Hivi thesis yako ulimpa nani mm siioni unaitwa nani fulani kama ni ile tafuta tittle nyingine ile hamna kitu
Watu huwa wanalia kabisa
Eti vyuo vikongwe mpaka leo havina mfumo wa kusoma masafa marefu sababu ya ukuda
Vizuri kwenda nje tu nje supervisor ukianza tu mnaongea nae kama mwanafunzi ukipata changamoto anasikitika sana na anajitahidi kukupa hamasa zaidi umalize
Sasa afrika hiyo hela bora ukanunue mashamba tu
Kweli kabisa.
Yote yalinikuta. Wanaongea tofauti hujui uchukue lipi, ukienda kwa huyu ni tofauti na huyu.
Pale udom
 
Km uko kwenye ajira na unafanya biashara zako umeamua kujiongeza usijisumbue nenda Jordan usipoteze mda kama unataka tu kusoma na hauna hili walile kasome huko Udom nasisitiza tena fata ushauri wangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baba zama Jordan chap hawa wananzengo wa UDOM achana nao
 
eti SUA[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],aliyewadanganya watanzania kuhusu SUA auwawe haraka.

Eti sua kama mtu anasoma na masomo ni yaleyale tu anashindwa nini kama sio ukiritimba wa mwalimu tu
Ukiritimba wa mwalimu hauwezi kufanya kuwa na elimu bora
 
Nenda Jordan.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilitaka nikuite ili umshauri mtoa mada ila nikasema ngoja kwanza nisome Comments pengine itakuwa ulishapita
Ni kwanini aende Jordan lakini
 
eti SUA😁😁😁😁,aliyewadanganya watanzania kuhusu SUA auwawe haraka.
SUA kuna tatizo gan mkuu? Binafsi naona SUA inahitaji kukarabatiwa upya kwa maana mazingira si rafiki ya kusoma pale, chuo kimechoka sana.
 
Mapichapicha yanaanza baada ya kumaliza coursework
Mara thesis haionekani
Mara ulituma softcopy imepotea mm email ziko nyingi Naomba hardcopy
Unapeleka
Baada ya miezi
Hivi thesis yako ulimpa nani mm siioni unaitwa nani fulani kama ni ile tafuta tittle nyingine ile hamna kitu
Watu huwa wanalia kabisa
Eti vyuo vikongwe mpaka leo havina mfumo wa kusoma masafa marefu sababu ya ukuda
Vizuri kwenda nje tu nje supervisor ukianza tu mnaongea nae kama mwanafunzi ukipata changamoto anasikitika sana na anajitahidi kukupa hamasa zaidi umalize
Sasa afrika hiyo hela bora ukanunue mashamba tu
Mradi kukomoa tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilitaka nikuite ili umshauri mtoa mada ila nikasema ngoja kwanza nisome Comments pengine itakuwa ulishapita
Ni kwanini aende Jordan lakini
Kwakweli aende tu huko kwa usalama wa afya yake ya akili😂😂😂
 
Back
Top Bottom