Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa.Mapichapicha yanaanza baada ya kumaliza coursework
Mara thesis haionekani
Mara ulituma softcopy imepotea mm email ziko nyingi Naomba hardcopy
Unapeleka
Baada ya miezi
Hivi thesis yako ulimpa nani mm siioni unaitwa nani fulani kama ni ile tafuta tittle nyingine ile hamna kitu
Watu huwa wanalia kabisa
Eti vyuo vikongwe mpaka leo havina mfumo wa kusoma masafa marefu sababu ya ukuda
Vizuri kwenda nje tu nje supervisor ukianza tu mnaongea nae kama mwanafunzi ukipata changamoto anasikitika sana na anajitahidi kukupa hamasa zaidi umalize
Sasa afrika hiyo hela bora ukanunue mashamba tu
Hakuna kitu kama hicho.chief UDOM kuna pisi kali mnooo halfu zinajitunza sana
Km uko kwenye ajira na unafanya biashara zako umeamua kujiongeza usijisumbue nenda Jordan usipoteze mda kama unataka tu kusoma na hauna hili walile kasome huko Udom nasisitiza tena fata ushauri wangu.
Wakuu naomba ushauri tajwa hapo juu nisije shindwa ku graduate masters kwa wakati
Uko sahihiBachelor ulichukulia wapi?
Kama ni Chuo cha umma basi safari hii uende private and vice versa, lakini usiuamini sana ushauri wangu.
SIo kila demu wa kuruka naye...na sio kila demu utongozeHakuna kitu kama hicho.
Wanagawa vibaya mno pale.
Nimeshuhudia.
eti SUA😁😁😁😁,aliyewadanganya watanzania kuhusu SUA auwawe haraka.Jiendee ,mzumbe au SUA. ,kama kichwani kwako kukosawa
Kama ,sipana mkononi jiendee hukohuko
eti SUA[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],aliyewadanganya watanzania kuhusu SUA auwawe haraka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nenda Jordan.
SUA kuna tatizo gan mkuu? Binafsi naona SUA inahitaji kukarabatiwa upya kwa maana mazingira si rafiki ya kusoma pale, chuo kimechoka sana.eti SUA😁😁😁😁,aliyewadanganya watanzania kuhusu SUA auwawe haraka.
SUA ni mbaya zaidi ya majengo.SUA kuna tatizo gan mkuu? Binafsi naona SUA inahitaji kukarabatiwa upya kwa maana mazingira si rafiki ya kusoma pale, chuo kimechoka sana.
Hiki chuo inahitaji kisimamiwe kwa umakini mkubwa kitaaluma, japo mtaani kinasifiwa elimu yake ngumu.SUA ni mbaya zaidi ya majengo.
Taaluma iko hovyo pale.
Mradi kukomoa tuMapichapicha yanaanza baada ya kumaliza coursework
Mara thesis haionekani
Mara ulituma softcopy imepotea mm email ziko nyingi Naomba hardcopy
Unapeleka
Baada ya miezi
Hivi thesis yako ulimpa nani mm siioni unaitwa nani fulani kama ni ile tafuta tittle nyingine ile hamna kitu
Watu huwa wanalia kabisa
Eti vyuo vikongwe mpaka leo havina mfumo wa kusoma masafa marefu sababu ya ukuda
Vizuri kwenda nje tu nje supervisor ukianza tu mnaongea nae kama mwanafunzi ukipata changamoto anasikitika sana na anajitahidi kukupa hamasa zaidi umalize
Sasa afrika hiyo hela bora ukanunue mashamba tu
Kwakweli aende tu huko kwa usalama wa afya yake ya akili😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilitaka nikuite ili umshauri mtoa mada ila nikasema ngoja kwanza nisome Comments pengine itakuwa ulishapita
Ni kwanini aende Jordan lakini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwakweli aende tu huko kwa usalama wa afya yake ya akili[emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe experience ilkuaje na ulitoboa vip?Kweli kabisa.
Yote yalinikuta. Wanaongea tofauti hujui uchukue lipi, ukienda kwa huyu ni tofauti na huyu.
Pale udom