heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Waambie wakupe advance fikishia baadhi wakikupa full fikishia wengine, kuwa muwazi itakusaidia kulinda reputation na clients wako, usikope kwa riba ita kucost
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haajui kama humu kuna akina AKILI TATU 😆Unataka ujibiwe vipi!? Direct answer au indirect kama ulivyoandika hapo!?
Niende kwenye mada mojakwamoja Nimestack wakuu mimi najishughulisha na kusupply vifaa mbalimbali.
Sasa toka mwezi October nilianza kufanya usambazaji wa bidhaa kwa wateja ila hadi kufika mwezi huu oda zimekuwa nyingi kuzidi mtaji na teyari nimepokea oda mpya na nimehadi kupeleka bidhaa kwa wakati kwa wateja.
Sina vyanzo vingi vya kupata mkopo hili ndio linaniumiza akili.
Naomba Ushauri
1. Nawaza niwataarifu wateja kuwa sitaweza kudeliver bidhaa zao tena sababu ya mtaji na je si nitawapoteza alafu itakuwa haina maana ya hiki ninachofanya biaashara haitakuwa.
2. Wapi naweza kupata pesa ili nibust mtaji na niendelee kusabaza bidhaa kama kawaida kwa wateja wangu..
Naombeni ushauri wenu wakuu..
Unafanya biashara gani mkurugenzi! Maana hakuna biashara mpya kwa sisi wabongo. Hivyo sitegemei unifiche.Niende kwenye mada mojakwamoja Nimestack wakuu mimi najishughulisha na kusupply vifaa mbalimbali.
Sasa toka mwezi October nilianza kufanya usambazaji wa bidhaa kwa wateja ila hadi kufika mwezi huu oda zimekuwa nyingi kuzidi mtaji na teyari nimepokea oda mpya na nimehadi kupeleka bidhaa kwa wakati kwa wateja.
Sina vyanzo vingi vya kupata mkopo hili ndio linaniumiza akili.
Naomba Ushauri
1. Nawaza niwataarifu wateja kuwa sitaweza kudeliver bidhaa zao tena sababu ya mtaji na je si nitawapoteza alafu itakuwa haina maana ya hiki ninachofanya biaashara haitakuwa.
2. Wapi naweza kupata pesa ili nibust mtaji na niendelee kusabaza bidhaa kama kawaida kwa wateja wangu..
Naombeni ushauri wenu wakuu..
Kama partner aje na mtaji kiasi gani na atanufaikaje?Niende kwenye mada mojakwamoja Nimestack wakuu mimi najishughulisha na kusupply vifaa mbalimbali.