Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Sasa hivi yupo nyuma ya nondoKiboko ya Mbowe ni Ole Sabaya. Anamuogopa kama nn sijui. Ha ha ha haaaaa kwioooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi yupo nyuma ya nondoKiboko ya Mbowe ni Ole Sabaya. Anamuogopa kama nn sijui. Ha ha ha haaaaa kwioooo
Sasa hivi wanaongea kwa hurumaHayo mapambio na matarumbeta mnayo piga hayaana ala za muziki zinazo weza kuchezeka, kwasababu kama kweli sabaya Anaweza kupambana na mbowe mbona miaka yote minne amekuwa akizuia mikatano ya mbowe jimboni ? Haitiwasaidia saana wengine jela znawasubiri Mara baadae ya utawala huu kufika mwisho wake , tusubiri tu hamtaamini
Mhujumu uchumi,je atatoka???Kiboko ya Mbowe ni Ole Sabaya. Anamuogopa kama nn sijui. Ha ha ha haaaaa kwioooo
Mkuu jela na gereza nikwaajili ya maskini tajiri anapumzikaga tu jela kwa mda na kutosa #sabaya #mboye #esrow CrewSabaya atakua tena uraiani mwaka 13-10-2040 kama hatakatwa siku huko gerezani
Afrika ukiwa na pesa kuishi jela utake mwenyewe.Mkuu jela na gereza nikwaajili ya maskini tajiri anapumzikaga tu jela kwa mda na kutosa #sabaya #mboye #esrow Crew