Uchaguzi 2020 Ushauri: Ole Sabaya nakuomba Mbowe akikimbilia Moshi Mjini mfuate huko huko

Uchaguzi 2020 Ushauri: Ole Sabaya nakuomba Mbowe akikimbilia Moshi Mjini mfuate huko huko

Vyama vya siasa ni uhuni tu, kuanzia hiyo CCM, wapinzani wote ni magenge ya wahuni waliojificha kwenye mwamvuli wa kupigania maslahi ya wengi wakati ni kinyume chake.

F to all politicians, dem are di real Babylonians…
 
Hoja yako ni ipi?

Uhuni wa wapinzani unatoka wapi na kivipi

Hebu fafanua
 
Hoja yako ni ipi?

Uhuni wa wapinzani unatoka wapi na kivipi

Hebu fafanua
Jiulize ni watanzania wangapi wapo magereza na hakuna mwenye habari nao, haijalishi wameingiaje huko, akishikwa Sugu au Mbowe kwa kosa lile lile au dogo zaidi ya lile utasikia kelele nchi nzima, means kwamba wanajua wamejificha kwenye kakichaka flani ka kuwapambania wakati wowote hata wakizingua, mind u nao ni binadamu tu kama sisi hawana u special wowote….

Siasa za Africa ni vichaka vya watu kupiga madili yao makubwa makubwa nyuma ya pazia.
 
Kwenye siasa pamoja na uwezo mkubwa wa kujenga hoja pia ubabe, utemi na kuoneshana uanaume ni jambo la muhimu.

Katika jimbo la Hai DC Ole Sabaya amemuonesha mbunge wa jimbo hilo aina fulani ya siasa ambazo Mbowe hajawahi kuziona kabla.

Mbowe baada ya kukaa na kamati kuu ya chama hicho wameshauriana ni aibu kwa Mwenyekiti wa chama kilichokuwa kikuu cha upinzani kuangushwa na mtoto mdogo Ole Sabaya kwenye uchaguzi.

Kamati kuu ya chama hicho imemuomba Mbowe aende kugombea Moshi Mjini ile hata akiangukia pua awe amepigwa na mtu mzima mwenzake kuliko kupigwa na mtoto mdogo Ole Sabaya.

Maombi: Ole Sabaya naomba akikimbilia Moshi mjini, mfuate hukohuko ukamchape fimbo.
Mmemdanganya mjinga mwenzenu, kaona Mbowe kaenda mahabusu yeye akamfuata gerezani...

Majinga kabisa maSukuma Gang
 
Kiboko ya Mbowe ni Ole Sabaya. Anamuogopa kama nn sijui. Ha ha ha haaaaa kwioooo
Uko wapi my dear,kitu kinanyea debe kwa miaka selasini
200 (5).gif
 
Kwenye siasa pamoja na uwezo mkubwa wa kujenga hoja pia ubabe, utemi na kuoneshana uanaume ni jambo la muhimu.

Katika jimbo la Hai DC Ole Sabaya amemuonesha mbunge wa jimbo hilo aina fulani ya siasa ambazo Mbowe hajawahi kuziona kabla.

Mbowe baada ya kukaa na kamati kuu ya chama hicho wameshauriana ni aibu kwa Mwenyekiti wa chama kilichokuwa kikuu cha upinzani kuangushwa na mtoto mdogo Ole Sabaya kwenye uchaguzi.

Kamati kuu ya chama hicho imemuomba Mbowe aende kugombea Moshi Mjini ile hata akiangukia pua awe amepigwa na mtu mzima mwenzake kuliko kupigwa na mtoto mdogo Ole Sabaya.

Maombi: Ole Sabaya naomba akikimbilia Moshi mjini, mfuate hukohuko ukamchape fimbo
Basi sawa
 
Hayo mapambio na matarumbeta mnayo piga hayaana ala za muziki zinazo weza kuchezeka, kwasababu kama kweli sabaya Anaweza kupambana na mbowe mbona miaka yote minne amekuwa akizuia mikatano ya mbowe jimboni ? Haitiwasaidia saana wengine jela znawasubiri Mara baadae ya utawala huu kufika mwisho wake , tusubiri tu hamtaamini
Dah mkuu utabiri wako umetimia
 
Kiboko ya Mbowe ni Ole Sabaya. Anamuogopa kama nn sijui. Ha ha ha haaaaa kwioooo
Sabaya jela kwa mauaji mliomtuma.
Ole Sabaya atumie kanuni ya ulipotupo.Unamfata adui nyoka alipo unasaga kichwa.
Kaenda jela peke yake kwa mauaji mliomtuma na kumshabikia.
Mbowe hivi sasa yupo kama paka mfua vyungu kila aendako fimbo tu!
Mkajaza upepo Sabaya leo analia mmemuacha peke yake. wakati mlimliotuma kuua watu wa Hai mpo.
Heshima kwa ole sabaya, amezima siasa za kihuni za Mbowe
MaCCM nyie mnastahili kupigwa moto mkiwa hai. Sabaya anasema mmemtuma kuua .
 
Mbowe mwenyezi Mungu akubariki sana kwa siasa safi zilizo tukuka.
Free Mbowe sio Gaidi.
MAGAIDI ni MaCCM
 
Sabaya jela kwa mauaji mliomtuma.

Kaenda jela peke yake kwa mauaji mliomtuma na kumshabikia.

Mkajaza upepo Sabaya leo analia mmemuacha peke yake. wakati mlimliotuma kuua watu wa Hai mpo.

MaCCM nyie mnastahili kupigwa moto mkiwa hai. Sabaya anasema mmemtuma kuua .
Kama mlivyomuacha Mbowe!
 
Sabaya atakua tena uraiani mwaka 13-10-2040 kama hatakatwa siku huko gerezani
 
Back
Top Bottom