Uchaguzi 2020 Ushauri: Ole Sabaya nakuomba Mbowe akikimbilia Moshi Mjini mfuate huko huko

Uchaguzi 2020 Ushauri: Ole Sabaya nakuomba Mbowe akikimbilia Moshi Mjini mfuate huko huko

Mkuu hata mboe ashinde au asishinde hana faida kwangu maana hata kuwa mbuge wa jimbo langu wala sebaya akishinda hata kuwa na faida na mm ila mboe namkumbukaga tulikutanaga hapo kabesta tukila maji
Endelea tu kuandika ugoro humu jf ,Lakini Mbowe awamu hii lazima amwagwe kamasi pale hai
 
Unamlingananisha Mbowe na huyo aliyekulipa buku 7 uje umpe promo humu jamvini.
 
Kwenye siasa pamoja na uwezo mkubwa wa kujenga hoja pia ubabe, utemi na kuoneshana uanaume ni jambo la muhimu.

Katika jimbo la Hai DC Ole Sabaya amemuonesha mbunge wa jimbo hilo aina fulani ya siasa ambazo Mbowe hajawahi kuziona kabla.

Mbowe baada ya kukaa na kamati kuu ya chama hicho wameshauriana ni aibu kwa Mwenyekiti wa chama kilichokuwa kikuu cha upinzani kuangushwa na mtoto mdogo Ole Sabaya kwenye uchaguzi.

Kamati kuu ya chama hicho imemuomba Mbowe aende kugombea Moshi Mjini ile hata akiangukia pua awe amepigwa na mtu mzima mwenzake kuliko kupigwa na mtoto mdogo Ole Sabaya.

Maombi: Ole Sabaya naomba akikimbilia Moshi mjini, mfuate hukohuko ukamchape fimbo.

Yaani na akili zenu mnafikiri wachaga wa Hai wapigie kura mmasai!!! Inawezekana nyie mnakaa pwani na hamfahamu vizuri kaskazini😂😂
 
Huyo mumasai akagombee kwao msimudaganye kwa Hai bana, Nani anataka mbunge mhuni
 
Yaani na akili zenu mnafikiri wachaga wa Hai wapigie kura mmasai!!! Inawezekana nyie mnakaa pwani na hamfahamu vizuri kaskazini[emoji23][emoji23]
Hawajui tu watu wakule vile huyo sabaya amepeekwa kinguvu ingekuwa option angeshatolewa siku nyingi, hata hizo sarakasi zake no one cares watu wako busy na maisha kuliko siasa za upuuzi. Kule utamdaganya Nani. Hai mtu yoyote ukizingua utanyooshwa tu
 
Kwenye siasa pamoja na uwezo mkubwa wa kujenga hoja pia ubabe, utemi na kuoneshana uanaume ni jambo la muhimu.

Katika jimbo la Hai DC Ole Sabaya amemuonesha mbunge wa jimbo hilo aina fulani ya siasa ambazo Mbowe hajawahi kuziona kabla.

Mbowe baada ya kukaa na kamati kuu ya chama hicho wameshauriana ni aibu kwa Mwenyekiti wa chama kilichokuwa kikuu cha upinzani kuangushwa na mtoto mdogo Ole Sabaya kwenye uchaguzi.

Kamati kuu ya chama hicho imemuomba Mbowe aende kugombea Moshi Mjini ile hata akiangukia pua awe amepigwa na mtu mzima mwenzake kuliko kupigwa na mtoto mdogo Ole Sabaya.

Maombi: Ole Sabaya naomba akikimbilia Moshi mjini, mfuate hukohuko ukamchape fimbo.
SABAYA bila polisi anapata kura 1 mbele ya Mbowe I mean ya kwake
 
Ni ngumu sana kumlinganisha Kiongozi na Mtawala. MBOWE ni Kiongozi, Sabaya ni Mtawala. Sisi kama wananchi tunahitaji Uongozi na Viongozi. Watawala aina ya Sabaya, ni ngumu kupita kwenye sanduku kihalali dhidi ya Kiongozi mwenye haiba ya aina ya Mbowe. Labda Sabaya apite kwa sabuni ya bafuni=Goli la Mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku hizi wahuni wanakabidiwa mamlaka za dola ili wazitumie kupora haki za raia kikatiba na kuzima ndoto zao kutumia uhuru wao kufanya maamuzi yanayohusu maisha yao. Haya ni matumizi mabaya ya ofisi za umma na bila shaka yoyote kuna siku watu watatakiwa kujibu. Kinachoweza kufanyika mwaka huu ni kuahirisha tu. Tukiwa wakweli, mambo wanayofanyiana wanasiasa wetu hata wakoloni Waingereza hawakuwafanyia wapigania uhuru wa nchi hii.
 
Ole Sabaya anahitaji watu wababe Kama yeye. Mfano Mh Lema au Heche. Wengine atawapiga spana Sana.
 
Ni upungufu wa akili kumlinganisha mwanasiasa asiye na dola na mtumishi wa umma ambaye anavitegemea vyombo vya usalama kumkandamiza mwanasiasa huyo aliyechaguliwa na wananchi. Ni udhaifu mkubwa.
 
Tunaishi kwenye Taifa ambalo Rais badala ya kutimiza majukumu yake yupo busy kupanga ni chama gani cha upinzani kiwe chama kikuu cha upinzani, ni jimbo gani lichukuliwe na mbunge gani, spika afanye kipi na asifanye kipi,uchaguzi uwe wa huru au laa,mahakama zitoe hukumu gani kwa mtu yupi, e.t.c. Yaani wananchi wamenyang'anywa mamlaka yao yote pamoja na haki zao zote za kidemocrasia halafu mazuzu yakishashiba viporo vyao huko yanakuja kuandika nyuzi za kushangilia hali hiyo na yanashaangilia kizuzu! The law of nature is very clear: Every mistake will be paid with a huge cost in sooner rather than later!
 
Kiboko ya Mbowe ni Ole Sabaya. Anamuogopa kama nn sijui. Ha ha ha haaaaa kwioooo
Kwa hiyo Sasa hv lowassa karudi ccm na wewe ccm pindi kile chadema kwenye id nyingine upo chadema kweli kiboko lkn mjanja business woman
 
Mbowe Ni gentleman by birth, anasitahili pongezi. Ana hekima ya kutosha na uzalendo. Yeye Kama mzawa angeweza tafuta symphathy kwa watu wake Jambo
 
Ni ngumu sana kumlinganisha Kiongozi na Mtawala. MBOWE ni Kiongozi, Sabaya ni Mtawala. Sisi kama wananchi tunahitaji Uongozi na Viongozi. Watawala aina ya Sabaya, ni ngumu kupita kwenye sanduku kihalali dhidi ya Kiongozi mwenye haiba ya aina ya Mbowe. Labda Sabaya apite kwa sabuni ya bafuni=Goli la Mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri kwanza Mbungo amalize ucunguzi wake.
 
Back
Top Bottom