Oscar M Lungu
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 477
- 741
Dah!! Sijajua uelewa wetu wa vitu hapa jamvini. Lakini katika hali halisi mtu ambae vyombo vyote vya ulinzi vina mtii , anaetoa amri ili kumfurahisha aliyemteua uje umshindanishe na Mh. Mbowe ambae ndani ya serikali hii anaishi kama mnyama pamoja na vijana wake ndani ya chama. Tabu na mateso vimekua sehemu ya maisha yao. Kisiasa Mh.Mbowe ni extra miles kwa Sabaya. Ila ndani ya maboksi ya kura bila ya tume huru au waangalizi wa kimataifa sio Sabaya tu..hata wewe uliyeandika hii thread unaweza kushinda if and only if utakua candidate kupitia CCM