Uchaguzi 2020 Ushauri: Ole Sabaya nakuomba Mbowe akikimbilia Moshi Mjini mfuate huko huko

Sasa hivi wanaongea kwa huruma
 
Ooh hii thread iliandikwa kabla sponsor hajafa, okay basi sawa....
 
Mkuu jela na gereza nikwaajili ya maskini tajiri anapumzikaga tu jela kwa mda na kutosa #sabaya #mboye #esrow Crew
Afrika ukiwa na pesa kuishi jela utake mwenyewe.
Masikini wamejaa jela sababu hawana pesa za kununua UHURU wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…