Kweli??? Nilidhani kwenye seriousness watu hupeana constructive ideas, wengine wana mitaji ila hawajui waanzeje...wasaidieni bwana..!!
Mkuu unaweza kuchukua mkopo bila kujua cha kufanyia......?........au kwa sababu umeuona huu hapa hiyo inatosha.........?......
well.....binafsi mikopo ya hivyo huwa naitumia kwenda Vamizi........
Mkuu mbona umemkatisha tamaa huyo shosty!! ilikuwa agawe hizo 8m!! in 2 parts i.e (i) 3m awekeze ktk biashara ndogo ndogo ya fast moving items.Habarini za asbh wana MMU
kuna rafiki yangu anahitaj ushauri nimeona nilete kwenu mtamsaidia, amechukua mkopo benki wa tshs 8000000 (milion nane) ambazo atakatwa kwenye mshahara wake kwa muda wa miaka miwili, lkn mpaka sasa yuko kwenye dillema hajui afanye kitu gan na hzo pesa, hana kiwanja, anataman kufungua biashara. Lkn mi nikamshauri aachane na biashara kwanza kwa sbb pesa itaweza potelea yote huko na atapata maumivu ya kukatwa mshahara kwa miaka miwili.
Naomba mumshauri na nyie jaman.
Kiokote
Mkuu mbona umemkatisha tamaa huyo shosty!! ilikuwa agawe hizo 8m!! in 2 parts i.e (i) 3m awekeze ktk biashara ndogo ndogo ya fast moving items.
(ii) 4~5m aweke backup ya kiwanja, maana ya kwamba kiwanja haina poromoko la bei, pili biashara ikitaka kuendelezwa aweza uza kiwanja na kupanua biashara kadri demand to supply new clients!!
Wote mubarikiwe....
Good Luck
afanye biashara pesa ya faida atanunua viwanja mbona viwanja vingi tu atanunua mbele kwa mbele
sasa naamini vile vilio vya wengi kukosa mitaji kumbe ni excuse tu. problem ni watu wanakosa mipango ya ku create value. sasa hapo unakuta mfanya kazi mwenzake kachukua mkopo na yeye kaamua kuchukua bila kujua atafanyia nini. hapo unaweza kumuambia atulie kwanza mpaka uchaguzi upite halafu hizo pesa asiziguse kabisa aanze kufikiri taratibu kitu cha kufanya ndani ya miezi hii miwili.
kuna mambo mengi sana ya kufanya kwa hiyo milioni nane na kuingiza pesa. milioni nane unafungua biashara mbili safi sana. mwambie tu asiwe na pupa halafu asije akajiloga akakopesha watu atashika kichwa.
Sasa si azirudishe tu huko alikozikopa.....
Ngoja nikushauri kwa hasira,kwa niaba ya rafiki yako! Nimetanguliza hasira kwa kuwa mara nyingi resources zinatakiwa kumfuata mtu mwenye vision na sio vision kumfuata mwenye resource...hii ni kanuni ya asili!
Cha kufanya sasa anaweza kuwaona Consnet Group Limited walio Tancot House 1st/3rd Flr. Sokoine/Pamba Rd Dar es Salaam ambao ni wataalamu wa kilimo cha kisasa, mwone ndugu Sanctus Mtsimbe na timu yake watakushauri accordingly kisha utarudi hapa kutupa mrahaba!
Mpendwa LK, Normal kwa mfanya kazi wa ofisi ni vigumu kuingi ktk bahari huu ya biashara....Asante kwa ushauri mzuri pia, kwa muono wako ni biashara gan ndogo anayoweza kuanza kwa milion tatu....
Mwambie achukue kiasi kama m mbilii anunue shamba kubwa na apande miti ya mitiki au miberiti..baada ya miaka saba atapata mafanikio.makubwa saaana..
kiasi kinachobaki akakusanye nafaka kwa wakulima,,aje aziuze kipindi zinapoadimika.
Hili lina hitaji time yake saana..
Lakin anaweza fanya soft business ambayo haina stress kabsa na inakupatia smart money..
Atafute frem maeneo yenye watu saana..kama kkoo.mwenge..ubungo...n.k
alipie mwaka mzima
Kisha nunua line zako za tigo.mpesa na airtel money..maxmalipo.. uza vocha za jumla..
Mtafute mtu makin asimamie...
Baada ya mwaka utakua na pesa nyingi saana.
Sasa hapo umeshauri,,
Au umemuelekeza sehem ya kupata ushauri
Habarini za asbh wana MMU
kuna rafiki yangu anahitaj ushauri nimeona nilete kwenu mtamsaidia, amechukua mkopo benki wa tshs 8000000 (milion nane) ambazo atakatwa kwenye mshahara wake kwa muda wa miaka miwili, lkn mpaka sasa yuko kwenye dillema hajui afanye kitu gan na hzo pesa, hana kiwanja, anataman kufungua biashara. Lkn mi nikamshauri aachane na biashara kwanza kwa sbb pesa itaweza potelea yote huko na atapata maumivu ya kukatwa mshahara kwa miaka miwili.
Naomba mumshauri na nyie jaman.
Kiokote
vocha za jumla kwa mtaji wa 8M na frem kulipia kkoo plus kodi ya sirikali haiwezekan
Sio lazima iwe kkoo.. anaweza chuku sehem yoyete ile yeye watu na frem ya bei rahisi