Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami kwa mabeberu!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko.

Maama kumbukumbu zinaonyesha ulikuwa kinara wa kupiga kelele na kusema USA ni kwa mabeberu na wakati tukipigania mifumo wewe ulikuwa busy kujaribu kuifanya Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja kama China. Mkafungua mpaka Chuo. Sasa nenda huko kama hawatakupeleka kwa watekaji!

Somo hapa jamani tupiganie mifumo imara kwa kila Mtanzania hatujui kesho zetu. Wahuni watakuwepo kila siku tatizo sio watu ni mifumo. Tuungane kwa reforms.
 
Mpuuzi wewe

Aende ,china ambako Samia anapewa Pikipiki na Baiskeli za Bure, Kisha anawapa uhuru wanKuzurura nchini??.

Polepole ni WA ULAYA, au US au Tanzania Kambi za Jeshi
 
Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko. Maama kumbukumbu zinaonyesha ulikuwa kinara wa kupiga kelele na kusema USA ni kwa mabeberu na wakati tukipigania mifumo wewe ulikuwa busy kujaribu kuifanya Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja kama Chima. Mkafungua mpaka Chuo. Sasa nenda huko kama hawatakupeleka kwa watekaji!

Somo hapa jamani tupiganie mifumo imara kwa kila Mtanzania hatujui kesho zetu. Wahuni watakuwepo kila siku tatizo sio watu ni mifumo. Tuungane kwa reforms. Angalieni huyu sasa dada yake na Mama wanatekwa!!!
MTU kuwa na namba ya USA sio lazima awe USA maana ile namba aliyotoa ukiserch inaonesha Miami USA.

Ila haimaniishi yupo Miami USA ndo maana mnavamiwa na kuwa naked kwakuwa mnafanya ujasusi ambao haupo smart na mpo rahisi kudanganywa

Na hapa unakuta MTU Kama wewe umeajiriwa kitengo nyeti unalipwa na mshahara mkubwa.

Napata wasawasi Sana nikiona wasomi mnakuwa hivi najiuliza hali itakuaje kwa watu hawakufika Shule.
 
Leo bukusaba zitawatoa rohoo kwa mada za kipuuzi
 
MTU kuwa na namba ya USA sio lazima awe USA maana ile namba aliyotoa ukiserch inaonesha Miami USA.

Ila haimaniishi yupo Miami USA ndo maana mnavamiwa na kuwa naked kwakuwa mnafanya ujasusi ambao haupo smart na mpo rahisi kudanganywa

Na hapa unakuta MTU Kama wewe umeajiriwa kitengo nyeti unalipwa na mshahara mkubwa.

Napata wasawasi Sana nikiona wasomi mnakuwa hivi najiuliza hali itakuaje kwa watu hawakufika Shule.

Yuko wapi tuache kudanganywa ! balozi wa Cuba namba zote eti apate namba ya mitandao ya mji ambao uko karibu na Cuba!!!. Jamaa yuko Miami watamtafuta hawatampata mpaka arudi
 
Somo hapa jamani tupiganie mifumo imara kwa kila Mtanzania hatujui kesho zetu. Wahuni watakuwepo kila siku tatizo sio watu ni mifumo. Tuungane kwa reforms.
Sijakuelewa kabisa mkuu
 
MTU kuwa na namba ya USA sio lazima awe USA maana ile namba aliyotoa ukiserch inaonesha Miami USA.

Ila haimaniishi yupo Miami USA ndo maana mnavamiwa na kuwa naked kwakuwa mnafanya ujasusi ambao haupo smart na mpo rahisi kudanganywa

Na hapa unakuta MTU Kama wewe umeajiriwa kitengo nyeti unalipwa na mshahara mkubwa.

Napata wasawasi Sana nikiona wasomi mnakuwa hivi najiuliza hali itakuaje kwa watu hawakufika Shule.

..kwanini atumie namba za MABEBERU wakati yeye ni mjamaa?

..Na kwanini afanyie press conference mafichoni badala ya kufanya ana kwa ana na waandishi wa habari?
 
Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko.

Somo hapa jamani tupiganie mifumo imara kwa kila Mtanzania hatujui kesho zetu. Wahuni watakuwepo kila siku tatizo sio watu ni mifumo. Tuungane kwa reforms.
Duh natafakari
P
 
1759864634575.png

Marafiki wa Kichina wapo wapi! afadhali hata Lissu alipiganiwa na wana demokrasia wa German , watanzania, Belgium na USA mwenzetu huyu duh!!
 
Back
Top Bottom