MTU kuwa na namba ya USA sio lazima awe USA maana ile namba aliyotoa ukiserch inaonesha Miami USA.Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko. Maama kumbukumbu zinaonyesha ulikuwa kinara wa kupiga kelele na kusema USA ni kwa mabeberu na wakati tukipigania mifumo wewe ulikuwa busy kujaribu kuifanya Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja kama Chima. Mkafungua mpaka Chuo. Sasa nenda huko kama hawatakupeleka kwa watekaji!
Somo hapa jamani tupiganie mifumo imara kwa kila Mtanzania hatujui kesho zetu. Wahuni watakuwepo kila siku tatizo sio watu ni mifumo. Tuungane kwa reforms. Angalieni huyu sasa dada yake na Mama wanatekwa!!!
MTU kuwa na namba ya USA sio lazima awe USA maana ile namba aliyotoa ukiserch inaonesha Miami USA.
Ila haimaniishi yupo Miami USA ndo maana mnavamiwa na kuwa naked kwakuwa mnafanya ujasusi ambao haupo smart na mpo rahisi kudanganywa
Na hapa unakuta MTU Kama wewe umeajiriwa kitengo nyeti unalipwa na mshahara mkubwa.
Napata wasawasi Sana nikiona wasomi mnakuwa hivi najiuliza hali itakuaje kwa watu hawakufika Shule.
Sijakuelewa kabisa mkuuSomo hapa jamani tupiganie mifumo imara kwa kila Mtanzania hatujui kesho zetu. Wahuni watakuwepo kila siku tatizo sio watu ni mifumo. Tuungane kwa reforms.
MTU kuwa na namba ya USA sio lazima awe USA maana ile namba aliyotoa ukiserch inaonesha Miami USA.
Ila haimaniishi yupo Miami USA ndo maana mnavamiwa na kuwa naked kwakuwa mnafanya ujasusi ambao haupo smart na mpo rahisi kudanganywa
Na hapa unakuta MTU Kama wewe umeajiriwa kitengo nyeti unalipwa na mshahara mkubwa.
Napata wasawasi Sana nikiona wasomi mnakuwa hivi najiuliza hali itakuaje kwa watu hawakufika Shule.
Duh natafakariUshauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko.
Somo hapa jamani tupiganie mifumo imara kwa kila Mtanzania hatujui kesho zetu. Wahuni watakuwepo kila siku tatizo sio watu ni mifumo. Tuungane kwa reforms.