Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Daaah
Wanawake ambao ni pisi, ni wachachache sana kama Demi na best yake Depal hujaliwa akili.


Uzinzi ni mtamu ila balaa lake huko mbeleni ni mziki
 
Daaah
Wanawake ambao ni pisi, ni wachachache sana kama Demi na best yake Depal hujaliwa akili.


Uzinzi ni mtamu ila balaa lake huko mbeleni ni mziki
Sasa huyo mwanaume mwenzenu ana mnaona ana akili gani hapo? Ana stress za kazi halafu bado kaenda kujiongezea matatizo huko nje. Kakutana na mtoto wa mbwa sasa alee watoto wake. Binafsi simuonei huruma.
 
Sasa huyo mwanaume mwenzenu ana mnaona ana akili gani hapo? Ana stress za kazi halafu bado kaenda kujiongezea matatizo huko nje. Kakutana na mtoto wa mbwa sasa alee watoto wake. Binafsi simuonei huruma.
Afadhali umesema wewe ivo maana mwezi mzima wa january nimekuwa katikati ya stress badala ya kushauri nimekuwa nawapiga sana gubu watu aina hii....

Mie nasema kukosa akili kwa huyo manzi hadi kufikia kuzaa na mtu ambaye tayari ni garasa....
 
Afadhali umesema wewe ivo maana mwezi mzima wa january nimekuwa katikati ya stress badala ya kushauri nimekuwa nawapiga sana gubu watu aina hii....

M ie nasema kukosa akili kwa huyo manzi hadi kufikia kuzaa na mtu ambaye tayari ni garasa....
Manzi na huyo jamaa wote wana matatizo
 
Angetumia condom au kumwaga nje asingepitia huu msoto wote,temporary pleasure and gratification is the mother of all mothefuckers😢😿.
 
Jamaa yako nae ndezi sana yaana ana kisanga kazini halafu bado ana thubutu kuchepuka hadi kuzaa huo ni muda wa kutulia karibu na wife mshauriane mambo ya familia, btw kuna vyombo vya mchupuko wa starehe na mchepuko wife material unaeweza kuzaa nae........kimsingi kayakanyaga.
 
Wanaume tunajifunga kitanzi wenyewe mchepuko unazalisha ili iweje anastahili yanayompata , kanuni zangu ni za kigaza mchepuko nauchana kabisa Mimi kuzaa na wewe siko tayar ukijidundisha mimba makusud hyo ni yako enzi sijaoa mademu nimewanyesha sana vidonge vya uzaz naenda kununua na nasimamia anavimeza walikuwa wananiona katili lakin Bora kuliko kuzaa na mwanamke mpumbavu utateseka sana nimeoa bado principal ni zile zile mke wangu ndo atanizalia watoto full stop habar za uko nyumban na mkeo unapigiwa simu na mchepuko mtoto anaumwa unabak na stress na kushindwa kufurahia ndoa na mkeo
 
Mbona kesi ndogo hiyo ..... arudi ustawi wa jamii kwa kua mwanamke katelekeza watoto na ni mfanyakazi hivyo atawajibika yeye kukatwa elfu 70 kwenye mshahara wake pia aende na kazini kwa waajiri wake pia watakaa hivyo hivyo na kurudi kwa jamaa.

Tafuta wamama wajane kibao hapa mjini muombe akulelee watoto hakikisha na yeye anawatoto wadogo hivyo anza kumuhudumia .

Mbona watu mnakua sio wanaume ....yaani hamna akili kabisa.

Hakikisha kichwa cha juu kina akili marakumi ya kichwa cha chini.

Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie kikubwa kama mwanaume ni kutengeneza kibunda tu na akili nyingi.
 
Ndo mkome kutokuridhika na wake zenu, hapo jamaa angekuwa mwaminifu kwa mkewe yote hayo yasingemkuta, na huyo madam na njaa zake alitegemea kuwa jamaa anaeza muoa yeye kwakuwa mkewe yuko mbali ndo maana alipata kichaa cha kutaka kuishi kwenye nyumba ya hawara bila kujali ni ya familia.....yaan anafanya ivo lengo avuruge mpaka mke wa jamaa ajue kuwa ana mke mwenza! Yaani anajitahidi avuruge haswaaa waachane ili jamaa aamue sasa kuishi naye kama mke....yaan wee madam manioko zako
 
Wanaume wanaparamia vichaka wasivyovimudu kwa tamaa zao, na hiyo malayyer shida yake avuruge hiyo ndoa waachane na ndo maana ameona alete watoto ili mke wa jamaa ipo siku atajua, na akijua ni mtoto utawaka, hiyo mallayyer inahisi kule wakivurugana mwanaume ataamua kurudisha mahusiano kwake. Jambo ambalo wanawake wengi ambao hawajaolewa wanalitamanigi sana ila hawajawai kujua mume wa mtu anakutamani tu kwa muda na huwa hawatamani kuyakanyaga kama jamaa ake DeepPond alivofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…