Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Wanaume tumekuwa watu wa kufeli sana
 
Jamaa kasharipot kazini kwake kuwa mke kasepa na mke wake anajua?
 
Wanaume mna matatizo sana, hv wakati mpo kwenye mahusiano si mnajua kabisa huyu mwanamke si wa kuzaa nae ,au ndo genye za kukojoa hovyo zinawaponza?

Hao watoto kwanini usingewapeleka kule kwa mama j wako? Mana ndo wanafanana.
N way....mshauri tu atafte njia ya kumwambia mke wake mana watoto wanazidi kukua na itakuja kujulikana tu
 
Heading na content haviendani
 
Hii ni kausha damu tukisema tunaambiwa tunawanyanyasa wanawake.ona sasa
 
Umeongea ukweli mchungu
 
Usitawi wa jamii wajulishwe haraka, mengine yatamilizika vizuri, ila huyo jini wa kike kitamramba.
 
Kweli wapo Hawa wanaharamu na dawa yao ni kutokutoa kabisa waende wanapoweza aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…