Wewe kwa upofu na ujinga wako endelea kutumia ubongo wako kukuvushia barabara usigongwe na gari.Acha uchochezi na punguza chuki kwa asiyefahamu hata uwepo wako.
Kabisaaa!Ndiyo maana wamejiwekea kinga wasishitakiwe kwa maovu yao
Nimemshangaa sana huyo member na sijui gender yake....Asiambiwe ukweli kisa hamfahamu anayemwambia?
sawa,Huyu mstaafu!
Ndie aliyeanzisha makubwa katika nchi hii enzi za utawala wake.
Ni kweliSasa ameshikilia Remote na DP-WORLD!
anao ubavu wa kutupelekesha kwa ushirika na "RA". ambaye amerudi kwa kasi ya 5G kwenye awamu hii
Hili sii jina la heshima!ya mteule wao maushungi!
Sii kweli, hakuna mgawanyiko wowote ila kuna tofauti za mitizamo which is normalNchi inaelekea kugawanyishwa kwa makundi mawili yenye maslahi tofauti.
Naunga mkono1-Wapinga mkataba wa DP-WORLD!
Ambao wana maslahi mapana ya upendo kwa nchi yetu Tanganyika.
thibitisha!Kama Rais mstaafu analipwa mshahara 80% ya Mshahara wa Rais aliyeko madarakani currently.
Pia anaruhusiwa kutibiwa katika hospitali za kimataifa huko ughaibuni.
Anao walinzi na madereva wa serikali muda wote wa maisha yake.
Huku pia akipewa mgao wa gari mpya kila baada ya miaka mitano.
Amejengewa nyumba ya kifahari na serikali.
Na bado anazo nyumba lukuki za serikali alizojimilikisha toka zile zilizokuwa za serikali.
Walizojiuzia kinyemela....
sii kweli!Yoote hiyo haridhiki nazo na bado anataka mali zaidi!
Anaeipenda nafsi yake, ataiangamiza, na anayeiangamiza nafsi yake, atainusuru!.Mungu Inusuru Tanzania [emoji1241] [emoji813]
Hao ni matapeli haswaKabisaaa!
Ana umero uliokithiri. Ingekuwa ndani ya uwezo wake angetaka hata nchi iwe mali yake binafsi.Huyo swahiba wangu kila sehemu yenye mnuso huwezi kumkosa.
Ni dalali wa mali za nchiKunasiku nililala pahala.....nikaomba kiberiti niwashe fegi....nikakuta kuna stori za msoga boys........
Kumbe wengi mumeuelewa!Huyo swahiba wangu kila sehemu yenye mnuso huwezi kumkosa.
Huyu mstaafu!
Ndie aliyeanzisha ufisadi mkubwa katika nchi hii enzi za utawala wake.
ESCROW,RICHMOND,MEREMETA,SYMBION,IPTL .hizi
Zote ni kashfa za enzi zake!
Sasa ameshikilia Remote bila aibu na anatupelekesha na DP-WORLD!
Hataki kuachia remote akiamini kuwa anao ubavu wa kutupelekesha kwa ushirika na "RA".
Fisadi kubuhu ambaye amerudi kwa kasi ya 5G kwenye awamu hii ya mteule wao maushungi!
Je!
Watanzania mnakubali hali hii mpaka lini?
Nchi inaelekea kugawanyishwa kwa makundi mawili yenye maslahi tofauti.
1-Wapinga mkataba mbovu wa DP-WORLD!
Ambao wana maslahi mapana ya upendo kwa nchi yetu Tanganyika.
2-Waliouleta mkataba baada ya kutundikwa picha zao ukutani huko Emirati.
Kwa maslahi mapana ya matumbo yao mapana yasiyotosheka.
Kama Rais mstaafu analipwa mshahara 80% ya Mshahara wa Rais aliyeko madarakani currently.
Pia anaruhusiwa kutibiwa katika hospitali za kimataifa huko ughaibuni.
Anao walinzi na madereva wa serikali muda wote wa maisha yake.
Huku pia akipewa mgao wa gari mpya kila baada ya miaka mitano.
Amejengewa nyumba ya kifahari na serikali.
Na bado anazo nyumba lukuki za serikali alizojimilikisha toka zile zilizokuwa za serikali.
Walizojiuzia kinyemela....
Yoote hiyo haridhiki nazo na bado anataka kuliyumbisha taifa kwa kutaka mali zaidi!
Sasa naanza kuwaelewa wale viongozi wa Mapinduzi wa Niger dhidi ya Rais bilionea muuza Nickel ...Boughum!
Mungu Inusuru Tanzania [emoji1241] [emoji813]
Moderators....please msifanye yenu kuufuta uzi huu.
Ni kwa maslahi mapana ya nchi yetu Tanzani.
Nawaomba sana ...sana..sana!
AHSANTENI na asubuhi njema.
Maana kwa sasa JF ndio media platform pekee tunayoitegemea.
Huko kwingine kwishney!
Hatari snNimemshangaa sana huyo member na sijui gender yake....
Na nyingine ukisikia....masikio yatakuwasha.....Ni dalali wa mali za nchi
Yule mzee ni tapeli snNa nyingine ukisikia....masikio yatakuwasha.....
Unaweza kuta ni Asexual au binaryNimemshangaa sana huyo member na sijui gender yake....