Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Njaa ni zile za kubakia na akili za kizamani bila ya kujipanga ili uendane na dunia ya kisasa.Kinana na udalali wake hapa Tanzania vinahusiana nini na waarabu kuchimba Madini DRC na Rwanda? Kama hujui udalali wa Kinana na hawa Masheikh wa Dubai kaa kimya!!
Acha ujinga wako huyo mwarabú anafanya biashara ya uwekezaji huko unakosema kote Duniani kwa contractual terms gani? Ni hizi hizi terms alizosaini Samia na hiyo Kampuni?
Kule ulaya unakosema anafanya kazi kwenye banadari umeona mikataba yao waliosaini hata ukawa unawakingia kifua? Acheni njaa zenu wakati mwingine ni bora kukaa kimya badala ya kuwa ili mradi na wewe uonekane umechangia!
Terms ni hizi hizi ambazo tumeingia nao baada ya kusaini mikataba kule Dubai hakuna terms nyingine mkuu Bulesi. Hatuwezi kuishia kwenye mijadala, midahalo isiyokwisha wakati fursa za kuendelea kiuchumi zipo.
Hii ni vita ya kuipambania corridor yetu ya bandari, hatuwezi kujenga SGR kwa trilioni 18 halafu iishie kusafirisha mahindi na mihogo.
Lazima vichwani tubadilike, hii ni dunia katili sana, tukibakia na mawazo ya kizamani tumekwisha mazima.