Ushauri: Rais Mstaafu Kikwete, kwa hili la bandari unajiaibisha na kujivua nguo

Njaa ni zile za kubakia na akili za kizamani bila ya kujipanga ili uendane na dunia ya kisasa.

Terms ni hizi hizi ambazo tumeingia nao baada ya kusaini mikataba kule Dubai hakuna terms nyingine mkuu Bulesi. Hatuwezi kuishia kwenye mijadala, midahalo isiyokwisha wakati fursa za kuendelea kiuchumi zipo.

Hii ni vita ya kuipambania corridor yetu ya bandari, hatuwezi kujenga SGR kwa trilioni 18 halafu iishie kusafirisha mahindi na mihogo.

Lazima vichwani tubadilike, hii ni dunia katili sana, tukibakia na mawazo ya kizamani tumekwisha mazima.
 
Chuki binafsi ni kitu mbaya sana.
 
Mawazo ya kisasa ni kuhakikisha uchumi wetu unakuzwa na wananchi wenyewe na kwamba we do not surrender our sovereignity ; sio akili kumpa mwarabu corridor ya kwenda nchi za jirani wakati kazi hiyo inaweza kufanywa na watu wetu !! Ni lazima kulinda ajira za watu wetu kwa kuweka uchumi wa nchi mikononi mwao! Leo hii ukimpa DpWorld Bandari na corridor ya kwenda nchi jirani ujue kuwa biashara yote ya malori wanayofanya Wananchi kwenda nchi jirani sasa itakufa na wao ndio watafanya logistics hizo na faida kwenda Uarabuni!! Hio sio akili ni uzuzu!! Huwezi kuendeleza nchi kwa kutegemea wageni huo ni upunguani!!
Samia hana uchungu na nchi hii kwa sababu ya uarabu wake; wewe umewahi kuona nywele zake zilivyokuwa singa kama hao wajomba zake wamanga!!!
 
Kuendesha bandari sio sawa na biashara ya kufuga kuku au kuendesha shule mjini, ni biashara kubwa sana inayotutaka tuwe na vigezo vya kisasa ili kuweza kuifanya kimataifa.

Mtaji wetu wa wenye elimu ya kuendesha bandari kisasa ni mdogo sana.

Mtaji wetu wa teknolojia za kisasa ni mdogo sana na hapo hapo unapompa mwekezaji kama DPW unakuwa na uhakika wa kufanya ukarabati mwepesi unaochukua muda mchache kulingana na ambavyo sisi wenyewe kama waendeshaji tungehangaika katika masuala kama hayo.

Pia mwarabu anakwenda kufanya end to end logistics kwa maana ya kuutoa mzigo huko Congo kuuleta bandarini kuupakia melini na kisha kuufikisha huko kwenye soko, haya ni masuala makubwa sana kwenye logistiki ni zaidi ya hizi nadharia zetu za kila siku.
 
Hapo ndio unapoonesha ujinga wako, hao waarabu wa DpWorld kwani hizo kazi wanafanya wao si wanaajiri wataalam kama nasi tunavyoweza kuajiri huku watu wetu wakijifunza kwao? Hiyo technology unayosema is readly available nchi inaweza kununua,
Hiyo unayosema end to end logistics itatuletea umaskini mkubwa kwani makampuni yetu ya Wananchi wanaopeleka mzigo huko Congo yatafilisika na kutakuwa hakuna ajira kwa watu wetu!! Ni bora Kampuni zetu za mizigo zikalindwa kuliko to render them redundant na kuongeza umaskini nchini ; any sane government will protect the interests of its people and not of foreigners. Only short sighted people think like you!
 
Dua la kuku hili, tusiandikie mate. Mwezi wa kumi tarehe za mwishoni DP World anaanza kazi hapo bandarini.

Kusomesha watu ni mchakato wa miaka na miaka, lakini hakiwezi kuwa ndio kigezo cha sasa hivi cha kukataa uwekezaji mkubwa wenye lengo pana la kuongeza ufanisi pale TPA.

Miaka yote tulikuwa wapi kusomesha hiyo nguvu kazi ili iweze kushindana sokoni?.

Uzawa ni muhimu ukawepo lakini uje ukipita katika njia zake za asili, na sio kutanguliza uchoyo wa kipumbavu kwa kuuita uzawa.
 
Huwezi kumkataa mwekezaji mwenye kumiliki meli 400 kwa kigezo hafifu cha uzawa kwanza.

Huwezi kumkataa mwekezaji mwenye uzoefu mpana wa uendeshaji wa bandari kwa kigezo cha kulinda uwezo wa nguvu kazi ya ndani, hayo ni matatizo yetu sisi wenyewe.
 
Sawa Samia anapuuza Wananchi wanachosema lakini asije akajuta hapo baadae!! Majuto ni mjukuu!
 
Sawa Samia anapuuza Wananchi wanachosema lakini asije akajuta hapo baadae!! Majuto ni mjukuu!
Kama ambavyo wewe unalaani maamuzi ya uwekezaji kuna mamilioni ya wawekezaji wazalendo na wa kigeni wenye kumbariki kwa maamuzi hayo hayo. Na wote wanamuamini Mungu mmoja huyo huyo.
 
Maneno mazito sana kwa wale wenye mazingatio !! 🙏🙏
 
Naandika k
wa herufi kubwa:

KIKWETE ASIPOTANGULIA MBELE ZA HAKI TUSAHAU KUPATA RAIS BORA NCHI HII.

ATACHAGULIWA RAIS ANAYEMTII YEYE KWA MASLAHI YAKE.

KWASASA KIKWETE NI KANSA YA NCHI HII.

naongea kwa sauti
 
Ile kauli pale kanisani, anaijutia sana, imeshusha "P" yake sana..
sometimes bora kukaa kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…