Basi wapewe nchi mzima wizara zote na mashirika yoteTRA na Bandari ndiyo roho za uchumi, wanaume ni wezi sana.
Kama unataka mambo yanyooke pale wajaribu wanawake Wizara ya ujenzi na uchukuzi, TRA na Bandari, utaona nafuu kubwa itakavyopatikana. Wanaume wana ujasiri wa kijinga kabisa.
Wizara ka ya ujenzi waka watu kama Stella manyanya na wenzake wa aina hiyo. Hutajutia kuwapa nafasi hizo.
Umeandika upuuzi mtupu.TRA na Bandari ndiyo roho za uchumi, wanaume ni wezi sana.
Kama unataka mambo yanyooke pale wajaribu wanawake Wizara ya ujenzi na uchukuzi, TRA na Bandari, utaona nafuu kubwa itakavyopatikana. Wanaume wana ujasiri wa kijinga kabisa.
Wizara ka ya ujenzi waka watu kama Stella manyanya na wenzake wa aina hiyo. Hutajutia kuwapa nafasi hizo.
Wanawake ni wezi kama wanaume tu, inategemeana na maadili ya muhusika!! Kwani SIMBAULANGA wa enzi za NBC alikuwa mwanaume? Na wengine Wengi tu!! Nenda pale Kisutu uone wanawake wanaopanda kizimbani kwa ubadhilifu!
Very low but soundingKuthibitisha kuwa wanawake ni waaminifu na makini katika kazi angalieni idadi ya wafungwa na mahabusu walioko gerezani wanaume ndio wako wengi sana zaidi ya maradufu [emoji108][emoji108]
Imagine [emoji848][emoji848]
Umeandika upuuzi mtupu.
TRA au Bandari na jinsia za watu wapi na wapi?
Hivi unajua pale TRA na bandari kuna makamishna wangapi wa jinsia ya kike na upigaji upo kama kawaida.
Hivi huyo Engineer Stella Manyanya unajua alivyo na upeo duni na utendaji wa kiwango cha chini mnoo mara zote alipopewa vyeo?
Samia mwenyewe ni jinsia ya kike lakini uwezo wake kiutendaji kwenye serikali ni chini ya 20%, sasa sijui hao atakaowateua kijinsia watakuwa na uwezo gani?
Ni wapi umeona pameendelea kwa sababu pana mwanamkeTRA na Bandari ndiyo roho za uchumi, wanaume ni wezi sana.
Kama unataka mambo yanyooke pale wajaribu wanawake Wizara ya ujenzi na uchukuzi, TRA na Bandari, utaona nafuu kubwa itakavyopatikana. Wanaume wana ujasiri wa kijinga kabisa.
Wizara ka ya ujenzi waka watu kama Stella manyanya na wenzake wa aina hiyo. Hutajutia kuwapa nafasi hizo.
ILa kweli aisee ni wazo zuri maana ni waaminifu na wasio na tamaa kama wanaume.TRA na Bandari ndiyo roho za uchumi, wanaume ni wezi sana.
Kama unataka mambo yanyooke pale wajaribu wanawake Wizara ya ujenzi na uchukuzi, TRA na Bandari, utaona nafuu kubwa itakavyopatikana. Wanaume wana ujasiri wa kijinga kabisa.
Wizara ka ya ujenzi waka watu kama Stella manyanya na wenzake wa aina hiyo. Hutajutia kuwapa nafasi hizo.
Kuna wakati viongozi na watendaji wote tulikuwa wanaume tu, lakini nchi ilikwama hadi Leo, Kazi yetu ni kutafuta sifa tu hata kijinga tu zilizougharimu uchumi na uhai wa watu wetu kwa maelfu.Basi wapewe nchi mzima wizara zote na mashirika yote
USSR
Mkurugenzi mkuu TRA haiawahi kuwa mwanamkeUmeandika upuuzi mtupu.