Ushauri: Rais Samia teua wanawake kuwa watendaji wakuu wa TRA na Bandari ili kuleta ufanisi

Ushauri: Rais Samia teua wanawake kuwa watendaji wakuu wa TRA na Bandari ili kuleta ufanisi

Wanawake ni wezi kama wanaume tu, inategemeana na maadili ya muhusika!! Kwani SIMBAULANGA wa enzi za NBC alikuwa mwanaume? Na wengine Wengi tu!! Nenda pale Kisutu uone wanawake wanaopanda kizimbani kwa ubadhilifu!
Tena wanawake na wadada walioko TRA ni wazi sana na wanaumiza kitaa wafanyabiashara Kule kkoo watakuwa wamenimanya

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kuthibitisha kuwa wanawake ni waaminifu na makini katika kazi angalieni idadi ya wafungwa na mahabusu walioko gerezani wanaume ndio wako wengi sana zaidi ya maradufu [emoji108][emoji108]

Imagine [emoji848][emoji848]
Umenena
 
Fuatilia takwimu uone kama usemacho ni kweli.

Pamoja na kusemekana kuwa idadi ya wanawake kuwa kubwa kuliko wanaume lakini wanawake wafungwa na mahabusu ni wachache sana ukilinganisha na wafungwa wanaume na mahabusu off which ilipaswa kuwa kinyume chake!
Kaka mwanamke ni mwaminifu sana na hana mambo mengi kuliko mwanaume. Hahongi, hanywi wala kucheza kamali. Mwanamke ni muoga na ana aibu, anaogopa kuzomewa na kufungwa. Ni waaminifu kama mama zetu waliotuzaa.
 
Kwakuwa Mheshimiwa Rais Samia huwa anapitia na kusoma habari mbali mbali kutoka huku Natumaini ujumbe huu ataupata na ataufanyia kazi.
 
Mkurugenzi mkuu TRA haiawahi kuwa mwanamke


Ni kweli haijawahi kuwa tangu Uhuru wa Tanganyika hadi leo [emoji108]

Hata kwenye wakuu wa Idara na regional managers kama kuna wanawake basi huenda hakuna kabisa au wakawepo mmoja au wawili tu kati ya majority of Men.
 
TRA na Bandari ndiyo roho za uchumi, wanaume ni wezi sana.

Kama unataka mambo yanyooke pale wajaribu wanawake Wizara ya ujenzi na uchukuzi, TRA na Bandari, utaona nafuu kubwa itakavyopatikana. Wanaume wana ujasiri wa kijinga kabisa.

Wizara ya ujenzi weka watu kama Stella Manyanya na wenzake wa aina hiyo. Hutajutia kuwapa nafasi hizo.
wanaume ni wezi kwa sababu ya kutaka kuwa na pesa za kuwaridhisha wanawake-kuhonga.
 
It's cold war out there kid, grab your coat
 
Huyu naye ninmwanaume kaandika utumbo kama huu.
Mwanamke hafai hata kuwa msemaji wa familia..leo apewe wizara.

Wewe vepeee, kwani imetoka wapi? Nani aliekulea mpaka ukafikia hapo ulipo? Mbona unatafuta laana wewe?
Mtu mzima ovyooooooo [emoji2959]
 
Wewe vepeee, kwani imetoka wapi? Nani aliekulea mpaka ukafikia hapo ulipo? Mbona unatafuta laana wewe?
Mtu mzima ovyooooooo [emoji2959]
Laana unaijua wewe.
Mwanamke atakuwa chini ya mme maandiko yamesema.

Leo mnajifaragua tu mnatuharibia kanuni za uasili wa dunia.
Uongozi wapi na wapi mwanake. Kwanza huwa siwaoni kama mnaongoza kazi zenu ni kulea na kutunza familia basi. Sio kupewa mamulaka ya kuongoza watu.

Katubu ujue kubishana na mm sio utangulize hisia kwenye uhalisia
 
Shida je mwanamke akihitajika saa8 usiku ataweza kutoka?? Unakuta muda huo anahitajika afu ndo ukute anapelekewa moto unafikiri rahisi? Na nani yuko tayar mwanamke wake atoke muda huo.

Ndomana unaona nafas kama hzo hawapewi wanawake kwasababu kama hizo
 
Fuatilia takwimu uone kama usemacho ni kweli.

Pamoja na kusemekana kuwa idadi ya wanawake kuwa kubwa kuliko wanaume lakini wanawake wafungwa na mahabusu ni wachache sana ukilinganisha na wafungwa wanaume na mahabusu off which ilipaswa kuwa kinyume chake!
Basi tuwape wapemba na wahindi huko segerea hawapo kbs
 
Back
Top Bottom