Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,794
- 4,883
Tena wanawake na wadada walioko TRA ni wazi sana na wanaumiza kitaa wafanyabiashara Kule kkoo watakuwa wamenimanyaWanawake ni wezi kama wanaume tu, inategemeana na maadili ya muhusika!! Kwani SIMBAULANGA wa enzi za NBC alikuwa mwanaume? Na wengine Wengi tu!! Nenda pale Kisutu uone wanawake wanaopanda kizimbani kwa ubadhilifu!
Kaka mwanamke ni mwaminifu sana na hana mambo mengi kuliko mwanaume. Hahongi, hanywi wala kucheza kamali. Mwanamke ni muoga na ana aibu, anaogopa kuzomewa na kufungwa. Ni waaminifu kama mama zetu waliotuzaa.Fuatilia takwimu uone kama usemacho ni kweli.
Pamoja na kusemekana kuwa idadi ya wanawake kuwa kubwa kuliko wanaume lakini wanawake wafungwa na mahabusu ni wachache sana ukilinganisha na wafungwa wanaume na mahabusu off which ilipaswa kuwa kinyume chake!
Kubali tu wanaume wengi ni wezi. Tembelea magereza yote duniani utakuta 86% ya wafungwa wote ni wanaume.Tena wanawake na wadada walioko TRA ni wazi sana na wanaumiza kitaa wafanyabiashara Kule kkoo watakuwa wamenimanya
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Mkurugenzi mkuu TRA haiawahi kuwa mwanamke
wanaume ni wezi kwa sababu ya kutaka kuwa na pesa za kuwaridhisha wanawake-kuhonga.TRA na Bandari ndiyo roho za uchumi, wanaume ni wezi sana.
Kama unataka mambo yanyooke pale wajaribu wanawake Wizara ya ujenzi na uchukuzi, TRA na Bandari, utaona nafuu kubwa itakavyopatikana. Wanaume wana ujasiri wa kijinga kabisa.
Wizara ya ujenzi weka watu kama Stella Manyanya na wenzake wa aina hiyo. Hutajutia kuwapa nafasi hizo.
Wacha tuwajaribu nao.Tena wanawake na wadada walioko TRA ni wazi sana na wanaumiza kitaa wafanyabiashara Kule kkoo watakuwa wamenimanya
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Basi wapewe nchi mzima wizara zote na mashirika yote
USSR
Huyu naye ninmwanaume kaandika utumbo kama huu.
Mwanamke hafai hata kuwa msemaji wa familia..leo apewe wizara.
Laana unaijua wewe.Wewe vepeee, kwani imetoka wapi? Nani aliekulea mpaka ukafikia hapo ulipo? Mbona unatafuta laana wewe?
Mtu mzima ovyooooooo [emoji2959]
Jinsia zote ni wezi tu
Hivi mh. Zakhia Meghi Yuko wapi siku hizi?Sio kweli,
Lete takwimu tuone [emoji2369]
Jinsia ipi inaongoza kwa mahabusu wengi?
Jinsia ipi inaongoza kwa wafungwa wengi gerezani?
Basi tuwape wapemba na wahindi huko segerea hawapo kbsFuatilia takwimu uone kama usemacho ni kweli.
Pamoja na kusemekana kuwa idadi ya wanawake kuwa kubwa kuliko wanaume lakini wanawake wafungwa na mahabusu ni wachache sana ukilinganisha na wafungwa wanaume na mahabusu off which ilipaswa kuwa kinyume chake!