Ushauri: Rais Samia teua wanawake kuwa watendaji wakuu wa TRA na Bandari ili kuleta ufanisi

Unapoongea swala la wanawake mkumbuke mama yako mzazi kwanza kabla ya kuandika humu jf.
 
Unaongea swala la wanawake mkumbe mama yako mzazi kwanza kabla ya kuandika humu jf.
Soma tena ulicjokiandika..ndio uje tujenge hoja.

Usitumie hisia kwa mambo ya msingi. Hisia weka pembeni.
Hakuna Mama kama Baba hayupo hakuna mzazi bora kuliko mwingine wote wanahitajika na kila Mtu amepewa majukumu yake kulingana na maumbile yake..wewe mwanaume hujaumbwa kubeba Mimba Mungu alikuwa na mkusudi.

Suala la uongozi umegawanyika kuanzia Ngazi ya familia hadi Taifa.

Majukumu MAKUBWA ya kuongoza hayafai kwa MWANAMKE. .nakusubria uje na hoja pinganifu sio hoja za hiasia
 
Tofauti kuu ya baba na mama ni mifumo yao ya uzazi, baaasi. Yakiyobakia yote ni jamii imeamua iwe hivyo
 
Hahaha..Dah! We jamaa umenifanya nicheke mwenyewe.
 
Msingi wa hoja umejikita
kwenye jinsia , zingatia hilo.
Wanaume waliyokuwa huko jela wana makosa tofauti tofauti sio wizi au ufisadi tu sasa huwezi kufanya hicho kuwa kipimo cha kwamba et wanawake kutokuwa wengi kwenye majela ndio maana yake wanawake sio wezi.
 
Hawa ndugu zake Eva huwajui vizuri kumbe. Wizi nchi hii unatokea kwenye chama
 
Wanaume waliyokuwa huko jela wana makosa tofauti tofauti sio wizi au ufisadi tu sasa huwezi kufanya hicho kuwa kipimo cha kwamba et wanawake kutokuwa wengi kwenye majela ndio maana yake wanawake sio wezi.
Kwanini hayo makosa tofauti tofauti yasitokee pia kwa wanawake? Wanaume ni wezi bhanawee!! Wanahonga, wanatoa mahari, wanajenga, Wana magari nk
 
Kwanini hayo makosa tofauti tofauti yasitokee pia kwa wanawake? Wanaume ni wezi bhanawee!! Wanahonga, wanatoa mahari, wanajenga, Wana magari nk
Imeandikwa. Mwanaume utakula kwa jasho, sasa jasho ndo linapelekea mtu kujikuta yuko jela. Vitu vingine bana, tunakoelekea utaanza kusema tuwape watoto nyadhifa hizo kwa kuwa wao magerezani hawapo kabisa. Judgement ni tofauti km mwanaume akifanyiwa ukatili au mwanamke kufanyiwa ukatili. Jikite kwenye hoja, ni mwanamke gani huwa hashawishiki? Kaa karibu na matraffic wa kike wewe ndo utawaona walivo vzr kwenye kupokea 😁😁
 
Wanaume waliyokuwa huko jela wana makosa tofauti tofauti sio wizi au ufisadi tu sasa huwezi kufanya hicho kuwa kipimo cha kwamba et wanawake kutokuwa wengi kwenye majela ndio maana yake wanawake sio wezi.


Ni kipimo mojawapo cha msingi sana.
 
Ni kipimo mojawapo cha
msingi sana.
Hapana, kama nilivyosema kuwa makosa aina tofauti ndio yamewafanya kuwepo wanaume huko jela na si kosa aina moja tu hivyo wingi wa wanaume jela kuliko wanawake sio kipimo sahihi kusema et wanaume wanaiba sana kuliko wanawake kana kwamba huko jela watu wamefungwa kwa kesi za wizi tu.
 
Watu wamejazana kuuza miili yao ili wapate pesa waishi maisha ya kifahali yasiyo ya kwao, vikundi ni kama utitiri madeni hayaishi kwenye viccoba leo uwape fursa si watatafuna hadi chenji. Suala la uaminifu halina jinsia.
 
Kwanini hayo makosa tofauti
tofauti yasitokee pia kwa
wanawake? Wanaume ni wezi
bhanawee!! Wanahonga,
wanatoa mahari, wanajenga,
Wana magari nk
Unajua hata ikiwa kwamba wanaume ndio wako wengi jela kwa wizi ni kutokana na mazingira yalivyo kwa maana wao ndio wamebeba majukumu zaidi kuliko wanawake.
 
Watu wamejazana kuuza miili
yao ili wapate pesa waishi maisha ya kifahali yasiyo ya
kwao, vikundi ni kama utitiri
madeni hayaishi kwenye
viccoba leo uwape fursa si
watatafuna hadi chenji. Suala
la uaminifu halina jinsia.
Tena hayo mambo yao ya vicoba ndio usiseme kuna wanawake matapeli huko balaa.
 
Mwanamke anaepokea ni yule asiyekuwa na mwanaume, anajihudumia yeye watoto na wazazi, extended.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…