Ushauri: Rais utakapobadilisha Mawaziri, badilisha na Makatibu Wakuu wa Wizara husika

Ushauri: Rais utakapobadilisha Mawaziri, badilisha na Makatibu Wakuu wa Wizara husika

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Ni maoni yangu tu, maana hao makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara. Kama waziri hayupo sawa, maana yake hata katibu wa wizara atakuwa hayupo sawa

Ni mtazamo wangu tu
 
Mimi namuomba amrudishe Kangi Lugola kwenye nafasi yoyote ya uwaziri
images (87).jpeg
 
Back
Top Bottom