Ushauri: Rasimu ya katiba iandikwe na wataalamu ambao hawana chama. Hata kama wanatoka nje

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Ushauri: Rasimu ya katiba iandikwe na wataalamu ambao hawana chama. Hata kama wanatoka nje.

Maoni yakisha kusanywa wataalamu pekee ndiyo waandike sio makada wala Bunge fake la katiba. Bunge la katiba nalo ambalo sio ya kivyama ipigie kura bila mabadilisho . Tukifanya kama wakati wa Kikwete haitapatikana katiba
 
Nakubaliana na mleta uzi,tena tusiende mbali sana,tuwape kandarasi hata majirani zetu wakenya,then kazi yao ikikamilika kabla haijapitishwa ihakikiwe na wabobezi wenye weledi wasio na Chama,wasomi haswa wa masuala ya Katiba na Sheria ili kulinda maslahi mapana ya nchi yetu tukufu ya Tanzania.
 
Tembelea www.katibampya.com hipo rasimu ya katiba mpya iliyojengwa juu ya falsafa ya mamlaka ya wananchi, ya kina na yenye uwezo mkubwa wa kutatua changamoto za taifa letu. Shiriki na wengine tovuti hiyo
 
Usishangae ikiandikwa na gentlemen tlaatlah na mwashwamba lukas 🐼
 
Tunayo rasimu ya Katiba ya Tume wa Warioba, ilipigiwa kura lini ya kukataliwa hadi tuandae katiba nyingine? Yaani tutupe 300b zilizotumiwa kuandaa 'katiba ya Warioba'? Rasimu ya katiba ya Warioba ipigiwe kura kwanza kwa Tume nyingine huru ya uchaguzi, ikikataliwa ndipo tuandae katiba nyingine.

Vv
 
Ushauri: Rasimu ya katiba iandikwe na wataalamu ambao hawana chama. Hata kama wanatoka nje.

Maoni yakisha kusanywa wataalamu pekee ndiyo waandike sio makada wala Bunge fake la katiba. Bunge la katiba nalo ambalo sio ya kivyama ipigie kura bila mabadilisho . Tukifanya kama wakati wa Kikwete haitapatikana katiba
Tangu lini mabingwa wa jando na unyago wakatawala nchi.... Matokeo yake ndiyo haya, hawa ni wataalamu wa mdundiko akina msoga
 
Back
Top Bottom