Tembelea www.katibampya.com hipo rasimu ya katiba mpya iliyojengwa juu ya falsafa ya mamlaka ya wananchi, ya kina na yenye uwezo mkubwa wa kutatua changamoto za taifa letu. Shiriki na wengine tovuti hiyoNakubaliana na mleta uzi,tena tusiende mbali sana,tuwape kandarasi hata majirani zetu wakenya,then kazi yao ikikamilika kabla haijapitishwa ihakikiwe na wabobezi wenye weledi wasio na Chama,wasomi haswa wa masuala ya Katiba na Sheria ili kulinda maslahi mapana ya nchi yetu tukufu ya Tanzania.
Njia ya mwongo ni fupisiku 100 za jina lake limekuwa Abdul
Tangu lini mabingwa wa jando na unyago wakatawala nchi.... Matokeo yake ndiyo haya, hawa ni wataalamu wa mdundiko akina msogaUshauri: Rasimu ya katiba iandikwe na wataalamu ambao hawana chama. Hata kama wanatoka nje.
Maoni yakisha kusanywa wataalamu pekee ndiyo waandike sio makada wala Bunge fake la katiba. Bunge la katiba nalo ambalo sio ya kivyama ipigie kura bila mabadilisho . Tukifanya kama wakati wa Kikwete haitapatikana katiba