Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,578
Kama awamu hiyo ndo ilikuwa hovyo kabisa.Kusomwa itabidi isomwe tu maana ni takwa la katiba, ishu ifike mahali wachukue hatua na hatua zionekane kuchukuliwa.
Tatizo hata enzi za mwendazake hakuna aliyeshtakiwa
Mwendazake hakutaka kabisa hasara zisomwe, alipenda kusikia faidaza uongo tu ili kuwa manipulate wananchi wengi ambao wana akili ndogondogo na za kinyumbu. Ndo sababu akatibuana na Prof. Assad na kumwondoa kwa kuilawiti katiba.
Charles Kichere alipoteuliwa akaona isiwe tabu, akatusomea faida hadi ATCL, plus magawio kibao kutoka mashirika mbalimbali ya umma! Lakini alipoingia mama tu Charles huyohuyo akatusomea hasara ya ATCL kuwa tangu ifufuliwe ni mwendo wa hasara tu. Na in fact ni not shirika la ndege kupata faida ndani ya muda mfupi tu baada ya kuanza kazi. Hata mashirika makubwa duniani yana struggle kwanza. Ila mwamba yeye kwa kujua aliongoza vilaza akawa anawashushia mifaida ya kwenye karatasi tu, na mdogo wake sasa naona anaadapt kwa bro mambo mengi tu.
Tutaendelea kuwa na mambo ya hovyo as long as tutaendelea kutawaliwa na green mamba.
Hizo report mimi nilishaacha kuzifuatilia.