Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ndo hivyo waweke takataka zao kwenye mifuko ya suruali zao na pochi zao na wazifungie ndani ya sehemu zao za biashara kama hawataki kutupa kwenye dustbin....Hapa itakuwa kuwapa mwanya wa kuwachomoa watu hela za rushwa, sioni tija..
Kwani mkuu sasa hivi Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wana kazi gani? Huoni kuwa tutakuwa tunaongeza tu matumizi yasiyo na lazima?Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira. Swala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo haliwezi likasimamiwa na watumishi wa wizara ambao hawana nyenzo za kuwadhibiti wahalifu.
Bila kuonesha hata namna moja jinsi mazingira yanavyochafuliwa kwa hayo masaa 24. Huu uzi ni BATILI.Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira. Swala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo haliwezi likasimamiwa na watumishi wa wizara ambao hawana nyenzo za kuwadhibiti wahalifu.
Usipotumia maarifa vizuri unaweza jikuta una jeshi la walimu, jeshi la madaktari, jeshi la maafisa kilimo, jeshi la maafisa kodi.Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira.
Suala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo haliwezi likasimamiwa na watumishi wa wizara ambao hawana nyenzo za kuwadhibiti wahalifu.
Uchafu wa makazi kwa Tanzania upo kwenye fikra zaidi kwa hiyo kazi ni kutoa elimu ya usafi wa mazingira kwa wanachini bila kuchokaKama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira.
Suala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo haliwezi likasimamiwa na watumishi wa wizara ambao hawana nyenzo za kuwadhibiti wahalifu.
Ni vigumu kutoa elimu kwenye jamii ambayo haijaelimika na haitaki kuelimika, sijui utatumia njia gani kuwalazimisha waache kusikiliza muziki na bongo muvi!Uchafu wa makazi kwa Tanzania upo kwenye fikra zaidi kwa hiyo kazi ni kutoa elimu ya usafi wa mazingira kwa wanachini bila kuchoka
Mipango miji yetu pia inasupport mazingiragya makazi kuwa machafu haiwezekani watu wenye akili timamu wakaacha miji inakuwa kiholela holela bila kujua madhara yake..
Hizo sauti kubwa za muziki zinazopigwa usiku kucha kwenye makazi wewe hauoni ni uchafuzi wa mazingira! Ni vigumu kukuelimisha mtu kama wewe kwa jambo ambalo limepigiwa kelele muda wote, endelea tu kuangalia bongomuvi.Bila kuonesha hata namna moja jinsi mazingira yanavyochafuliwa kwa hayo masaa 24. Huu uzi ni BATILI.
Uchafuzi wa mazingira unaangukia kwenye uhalifu, kuna watu hukusanya taka kisha usiku wanazitupa kwenye sehemu isiyostahili, kuna watu wanapiga muziki kwa sauti kubwa kwenye makazi ya watu nyakati za usiku huku wanaopigiwa kelele hawana pa kushitaki muda huo.Usipotumia maarifa vizuri unaweza jikuta una jeshi la walimu, jeshi la madaktari, jeshi la maafisa kilimo, jeshi la maafisa kodi.
Kinachitakiwa ni kutumia elimu vizuri ili kutatua chanhamoto zetu.
Hebu eleza jinsi hilo baraza linavyodhibiti kelele za muziki nyakati za usiku, pia eleza jinsi baraza linavyowadhibiti watu wanaotupa taka kwenye mitaa nyakati za usiku.Kwani mkuu sasa hivi Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wana kazi gani? Huoni kuwa tutakuwa tunaongeza tu matumizi yasiyo na lazima?
Hao wanaopiga makelele makazi ya watu si wanatimbiwaga na maskariUchafuzi wa mazingira unaangukia kwenye uhalifu, kuna watu hukusanya taka kisha usiku wanazitupa kwenye sehemu isiyostahili, kuna watu wanapiga muziki kwa sauti kubwa kwenye makazi ya watu nyakati za usiku huku wanaopigiwa kelele hawana pa kushitaki muda huo.
Hao askari ni vigumu kuwakamata hawa kwa sababu hawana vifaa vinavyopima ukubwa wa kelele, kazi yao haiwaruhusu.Hao wanaopiga makelele makazi ya watu si wanatimbiwaga na maskari
Kifuatacho nini! Wanavuta mpunga
Wanaondoka
Ova
[emoji1787][emoji1787]Hujawahi kuona bwana afya mchafu?
Mimi nilimuona tena kavaa ndala zilizochakaa, anazunguka kwenye migahawa kama paka
Uchafu upo kwenye damu yenu kama India tu