Nakubaliana na wewe asilimia 100. Tena kuna wakati unaamka asubuhi unakuta uchafu kwenye compound yako.Uchafuzi wa mazingira unaangukia kwenye uhalifu, kuna watu hukusanya taka kisha usiku wanazitupa kwenye sehemu isiyostahili, kuna watu wanapiga muziki kwa sauti kubwa kwenye makazi ya watu nyakati za usiku huku wanaopigiwa kelele hawana pa kushitaki muda huo.
Zipo nchi ambazo zina jeshi hilo ambalo ndilo lenye mamlaka ya kufanya doria.Nakubaliana na wewe asilimia 100. Tena kuna wakati unaamka asubuhi unakuta uchafu kwenye compound yako.
Ila hatuwezi kutatua changamoto hiyo kuanzisha jeshi la mazingira kwa sababu wanaofeli sasa hivi ndio hao hao watakuwa na sifa za kuwa askari wa hilo jeshi.
Wamefungia bar 2 dodoma jana, linavyowadhibiti wana sheria yao inayowaongoza ambayo ndio hiyo imewaongoza kufikia maamuzi hayo.Hebu eleza jinsi hilo baraza linavyodhibiti kelele za muziki nyakati za usiku, pia eleza jinsi baraza linavyowadhibiti watu wanaotupa taka kwenye mitaa nyakati za usiku.
Uchafuzi wa mazingira ni zaidi ya muziki wa baa, mathlani baa zote zikiacha kupiga muziki uchafuzi utakuwa umekwisha? Wanaotiririsha majitaka uswazi wizara itaweza kuwadhibiti? Wanaochimba mchanga mitaani na wanaokata miembe ya asili mitaani, wizara haiwezi kuwadhibiti.Wamefungia bar 2 dodoma jana, linavyowadhibiti wana sheria yao inayowaongoza ambayo ndio hiyo imewaongoza kufikia maamuzi hayo.