Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Huu ni ushauri tu,
Suala la sensa limetumika kipindi cha kale kuweza kupeleka huduma eneo husika. Mathalani nchi yetu haina mass internal migration ya watu na ongezeko la watu kwa nchi yetu linachangishwa na factors mbili tu ambazo ni birth rate factors and mutality rate factors tofauti na hapo hakuna.
Huwezi kufanya sensa wakati uchumi unadai uchumi umeanguka, wakati kuna pandemic ya Corona, wakati kuna uhaba wa maji, wakati hauna miundombinu ya afya, barabara, na elimu.
Kuna njia mbadala ya kuchukua takwimu kwa ajili ya maendeleo kwanini tusizitumie hizo?
Gharama za sensa ni zaidi ya Tsh 5000 kwa kila mtu mmoja anayehesabiwa.