Ushauri: Serikali isitishe zoezi la sensa mwakani 2022 ili pesa hizo zitumike kuboresha Sekta ya Kilimo

Ushauri: Serikali isitishe zoezi la sensa mwakani 2022 ili pesa hizo zitumike kuboresha Sekta ya Kilimo

Huu ni ushauri tu, huwezi kufanya sensa wakati uchumi unadai uchumi umeanguka, wakati kuna pandemic ya Corona, wakati kuna uhaba wa maji, wakati hauna miundombinu ya afya, barabara, na elimu.

Kuna njia mbadala ya kuchukua takwimu kwa ajili ya maendeleo kwanini tusizitumie hizo?

#Gharama za sensa ni zaidi ya tsh 5000 kwa kila mtu mmoja.
 
Mbona hujasema na Katiba mpya ya wananchi pia inakwama kwa sabab hizohizo uchumi?
 
Mkuu naomba ieleweke kuwa,

Isifananishwe sensa na mambo ya kijinga
 
Mkuu naomba ieleweke kuwa,

Isifananishwe sensa na mambo ya kijinga
🤣🤣🤣🤣🤣 Mwingine anasema hela ziende kwenye katiba mpya , mwingine kilimo , mwingine Elimu , Sera zote za kiserikali huwa zinafanyika kulingana na makadrio ya population ...!! Unaenda kuwekeza kwenye kilimo au Elimu , Kwa idadi ipi ya wahusika
 
Sensa ni muhimu sana kupanga maendeleo ya taifa.
 
Huu ni ushauri tu,

Suala la sensa limetumika kipindi cha kale kuweza kupeleka huduma eneo husika. Mathalani nchi yetu haina mass internal migration ya watu na ongezeko la watu kwa nchi yetu linachangishwa na factors mbili tu ambazo ni birth rate factors and mutality rate factors tofauti na hapo hakuna.

Huwezi kufanya sensa wakati uchumi unadai uchumi umeanguka, wakati kuna pandemic ya Corona, wakati kuna uhaba wa maji, wakati hauna miundombinu ya afya, barabara, na elimu.

Kuna njia mbadala ya kuchukua takwimu kwa ajili ya maendeleo kwanini tusizitumie hizo?

Gharama za sensa ni zaidi ya Tsh 5000 kwa kila mtu mmoja anayehesabiwa.
Kuna wapiga dili wa sensa watakuja kukupiga mawe hapa, ukute ndo maana jamaa fulani kakomaa na solidarity fund akusanye pesa ya sensa....
 
pole mkuu umechelewa kutoa ushauri.
kila kitu kimesha pangwa.
wakati mwengine jitahidi kutoa ushauri mapema.
ahsante.
 
Back
Top Bottom