Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Umenena, kuna watu wanaturudisha awamu ya nne kijanja, tujikumbushe kwa ufupiHizi shughuli za kitaifa ndio sehemu kubwa ya wenye madaraka kunufaika kwa namna moja au nyengine! Lingekuwepo jembe ingewezekana ku cancel ila kwa bi. mdash sensa itafanyika kama kawaaa 😂😂😂
Ninyi jamaa ni hivi mnajua umuhimu wa sensa tena siyo Tanzania ni kwa dunia nzima?Kazi ya NIDA nini? Kwanini wasitengeneze system watanzania wote wawe wanaingizwa baada tu ya kuzaliwa? Watu wanataka kupiga pesa haswa ya sensa.
Awamu ya 4 iliyo fortified, tukumbuke remote iko Msoga, TV ipo ikulu!Umenena, kuna watu wanaturudisha awamu ya nne kijanja, tujikumbushe kwa ufupi
- Kilimo kwanza
- Tanzania Beyond Tomorrow
- Big Results Now
Picha iendeleeAwamu ya nne hii iliochakachuliwa kidogo, tukumbuke remote iko Msoga, TV ipo ikulu!
Wacha movie iendelee tuPicha iendelee
Uendeshaji wa sense kwa tanzania huwa haukizi vigezo vya kuifanya ionekane na manufaa kwa Taifa.Ninyi jamaa ni hivi mnajua umuhimu wa sensa tena siyo Tanzania ni kwa dunia nzima?
Na mlivyo misukule wa wanasiasa wakisema wasitishe uchaguzi ili pesa ziboreshe kilimo mtapiga keleleeeee.
Ila kwakuwa sensa hazisaidii kuwapa madaraka hamuoni kabisa umuhimu wake.
Yaani wanasiasa walivyo wapumbavu hata sasa Rais akisema wachague aidha avunje bunge warudi kwenye uchaguzi au atumie pesa kuboresha kilimo, watachagua kurudi kwenye uchaguzi.
Sasa kwanini usitoe maoni ya namna ya kuboresha zoezi zima la sensa, badala yake unataka kuonesha kama vile sensa haina umuhimu.Uendeshaji wa sense kwa tanzania huwa haukizi vigezo vya kuifanya ionekane na manufaa kwa Taifa
Namhurumia mzazi wako kwa kuzaa bwabwa. Halafu mbona kwa Bakheresa siyo kama kwenu?Special kwa maza ako, una elewa maana ya system mpuuzi wewe au mpka uhesabiwe kama mbuzi? ndiyo tatizo la kuwa mjinga, Marekani umewahi kusikia wanaandaa sensa au kule watu hawahesabiwi? mpuuzi kweli
Sasa kwanini usitoe maoni ya namna ya kuboresha zoezi zima la sensa, badala yake unataka kuonesha kama vile sensa haina umuhimu.
Hata ngazi za familia kuna sensa.
Imagine eti kuna mtu anashauri eti itumike NIDA. Yaani anaonekana hata sensa hajawahi kushiriki, anaamini sensa huwa ni ya kuhesabu watu tu.Sawa mkaruka
Mzee wa siku nyingi
Kwanini sasa maza ako hajaolewa na Bakheresa? basi wewe olewa nayeNamhurumia mzazi wako kwa kuzaa bwabwa. Halafu mbona kwa Bakheresa siyo kama kwenu?
Ulishawahi kuona watoto wa Bakheresa wamekuwa misukule wa wanasiasa ili washike madaraka kama wewe?
Mwambie baba yako aolewe naye kwanza.Kwanini sasa maza ako hajaolewa na Bakheresa? basi wewe olewa naye
Zamu yako mkuuMwambie baba yako aolewe naye kwanza.
Nida, Rita wizara ya elimu wizara ya afya, Utumishi hawa wakishirikiana wana idadi ya watu wote Tanzania na kazi zao na mahali walipoKazi ya NIDA nini? kwanini wasitengeneze system watanzania wote wawe wanaingizwa baada tu ya kuzaliwa? watu wanataka kupiga pesa haswa ya sensa.