Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Very good, sema watu wanatafuta namna ya kupiga pesaNida, Rita wizara ya elimu wizara ya afya, Utumishi hawa wakishirikiana wana idadi ya watu wote Tanzania na kazi zao na mahali walipo
🤣🤣🤣🤣🤣 Mwingine anasema hela ziende kwenye katiba mpya , mwingine kilimo , mwingine Elimu , Sera zote za kiserikali huwa zinafanyika kulingana na makadrio ya population ...!! Unaenda kuwekeza kwenye kilimo au Elimu , Kwa idadi ipi ya wahusikaMkuu naomba ieleweke kuwa,
Isifananishwe sensa na mambo ya kijinga
Kuna wapiga dili wa sensa watakuja kukupiga mawe hapa, ukute ndo maana jamaa fulani kakomaa na solidarity fund akusanye pesa ya sensa....Huu ni ushauri tu,
Suala la sensa limetumika kipindi cha kale kuweza kupeleka huduma eneo husika. Mathalani nchi yetu haina mass internal migration ya watu na ongezeko la watu kwa nchi yetu linachangishwa na factors mbili tu ambazo ni birth rate factors and mutality rate factors tofauti na hapo hakuna.
Huwezi kufanya sensa wakati uchumi unadai uchumi umeanguka, wakati kuna pandemic ya Corona, wakati kuna uhaba wa maji, wakati hauna miundombinu ya afya, barabara, na elimu.
Kuna njia mbadala ya kuchukua takwimu kwa ajili ya maendeleo kwanini tusizitumie hizo?
Gharama za sensa ni zaidi ya Tsh 5000 kwa kila mtu mmoja anayehesabiwa.
[emoji3][emoji3]Kwanini sasa maza ako hajaolewa na Bakheresa? basi wewe olewa naye
sawa mkuu[emoji3][emoji3]