Sidhani mkuu!Salaam, Shalom!!!
Baada ya Kutokea maporomoko na maafa mlima Hanang, zimefanyika jitiada kadhaa kurudisha maisha ya Wahanga yarudi kama zamani.
Tumeshuhudia pia mamlaka Jana zikireport tetemeko la ukubwa wa 4.7 , hizi zote ni dalili za kuja Kutokea mlipuko wa volcano halisi.
Ninaiomba Serikali yangu kuhakikisha wananchi waishio chini ya mlima huo waondolewe na kwenda Mahali salama.
Kinga ni Bora kuliko Tiba🙏
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Amen
Poleni na tetemeko limesikika na huko pia?Niko Hanang muda huu, hali sio shwari.
Wananchi wameathirika sana kisaikolojia na wamejaa hofu.
Jumatano ilinyesha mvua kubwa tulilala kwa hofu kubwa.
Hadi sasa kuna familia nyingi hazina makazi wanahifadhiwa na jamaa zao.
Soko la vyakula limefungwa hadi leo.
Watu wana majereha mwili kwa kuumizwa na hilo janga.
Masinulizi ya wananchi yanaogofya.
Kibaya zaidi mlima ulifumuka pembeni yaani sana na mtu atoboke tumbo.
Wanajiuliza ni lini tena utafumuka?
Serikali ifanye kitu
Yaani Eti makazi yanarudishiwa kama awali maisha yaendelee!!Sidhani mkuu!
Tunajipanga na uchaguzi,na uchaguzi no gharama sana!
Hatuwezi ingia gharama za kuhamisha makazi ya watu!!
Ndivyo wakubwa wa chama watakavyosema!!
ntapita hapo kesho kutwa Maleshia ndogo...Niko Hanang muda huu
Watu hawana tu uwezo kuhama.Niko Hanang muda huu, hali sio shwari.
Wananchi wameathirika sana kisaikolojia na wamejaa hofu.
Jumatano ilinyesha mvua kubwa tulilala kwa hofu kubwa.
Hadi sasa kuna familia nyingi hazina makazi wanahifadhiwa na jamaa zao.
Soko la vyakula limefungwa hadi leo.
Watu wana majereha mwili kwa kuumizwa na hilo janga.
Masinulizi ya wananchi yanaogofya.
Kibaya zaidi mlima ulifumuka pembeni yaani sana na mtu atoboke tumbo.
Wanajiuliza ni lini tena utafumuka?
Serikali ifanye kitu
MkuuYaani Eti makazi yanarudishiwa kama awali maisha yaendelee!!
Kwa kweli sijalisikia tetemekoPoleni na tetemeko limesikika na huko pia?
Watu wana hofu sana.Watu hawana tu uwezo kuhama.
Lakini Hali inatisha.
Mungu awajalie viongozi wetu kutangulia kuona mbele kabla yetu.
Amen
Mamlaka zimeripoti Mbulu na Manyara kumetokea tetemeko la kipimo Cha 4.7Kwa kweli sijalisikia tetemeko
Sasa Serikali isipofanya itakuaje?Niko Hanang muda huu, hali sio shwari.
Wananchi wameathirika sana kisaikolojia na wamejaa hofu.
Jumatano ilinyesha mvua kubwa tulilala kwa hofu kubwa.
Hadi sasa kuna familia nyingi hazina makazi wanahifadhiwa na jamaa zao.
Soko la vyakula limefungwa hadi leo.
Watu wana majereha mwili kwa kuumizwa na hilo janga.
Masinulizi ya wananchi yanaogofya.
Kibaya zaidi mlima ulifumuka pembeni yaani sana na mtu atoboke tumbo.
Wanajiuliza ni lini tena utafumuka?
Serikali ifanye kitu
Wananchi nao wanatakiwa kuchukua tahadhariSalaam, Shalom!!!
Baada ya Kutokea maporomoko na maafa mlima Hanang, zimefanyika jitiada kadhaa kurudisha maisha ya Wahanga yarudi kama zamani.
Tumeshuhudia pia mamlaka Jana zikireport tetemeko la ukubwa wa 4.7 , hizi zote ni dalili za kuja Kutokea mlipuko wa volcano halisi.
Ninaiomba Serikali yangu kuhakikisha wananchi waishio chini ya mlima huo waondolewe na kwenda Mahali salama.
Kinga ni Bora kuliko Tiba🙏
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Amen
Kuhamisha nyumba ndugu Si jambo dogo!!Wananchi nao wanatakiwa kuchukua tahadhari
Poleni SanaNiko Hanang muda huu, hali sio shwari.
Wananchi wameathirika sana kisaikolojia na wamejaa hofu.
Jumatano ilinyesha mvua kubwa tulilala kwa hofu kubwa.
Hadi sasa kuna familia nyingi hazina makazi wanahifadhiwa na jamaa zao.
Soko la vyakula limefungwa hadi leo.
Watu wana majereha mwili kwa kuumizwa na hilo janga.
Masinulizi ya wananchi yanaogofya.
Kibaya zaidi mlima ulifumuka pembeni yaani sana na mtu atoboke tumbo.
Wanajiuliza ni lini tena utafumuka?
Serikali ifanye kitu
Dah Mungu atusaidie ila hofu bado ni kubwa,ukifika mazingira ya kijiji cha Jorodom karibu na mlima utalia haswa,kiujumla hali ni tete hili jambo hadithiwa tuNiko Hanang muda huu, hali sio shwari.
Wananchi wameathirika sana kisaikolojia na wamejaa hofu.
Jumatano ilinyesha mvua kubwa tulilala kwa hofu kubwa.
Hadi sasa kuna familia nyingi hazina makazi wanahifadhiwa na jamaa zao.
Soko la vyakula limefungwa hadi leo.
Watu wana majereha mwili kwa kuumizwa na hilo janga.
Masinulizi ya wananchi yanaogofya.
Kibaya zaidi mlima ulifumuka pembeni yaani sana na mtu atoboke tumbo.
Wanajiuliza ni lini tena utafumuka?
Serikali ifanye kitu
Hivi Hanang kuna tembo?Tembo walishahama long time huko.....
Poleni sana Mkuu....nakuja huko kuwapa pole ndugu na jamaa pale TFSDah Mungu atusaidie ila hofu bado ni kubwa,ukifika mazingira ya kijiji cha Jorodom karibu na mlima utalia haswa,kiujumla hali ni tete hili jambo hadithiwa tu