Ushauri: Serikali iwahamishe wakazi wote eneo la mlima Hanang Manyara

Wanaharakati na Briefcase NGOs watapinga mpaka bunge la Ulaya
Ulaji mpya
 
Tarangire iko karibu na Minjingu, Mdori, Magugu na Babati kwa mbaali.
Kutoka Tarangire kwenda Mlima Katesh hakuna muunganiko wowote
Nou Forest na bonde la Yaeda chini huko kunatembo wapo blocked....Mlima Hanang ni control point ya tembo kutoka Kaskazini kwenda kusini...ref watu walio uwawa majuzi hapo Katesh wakipiga selfii na tembo km chache tu kutoka mjini Katesh

West of Hanang mountain...Maretadu chini and juu...north Dabili escarpment

Kuna kitu kinaitwa Elephants connectivity....ntakuja kukielezea
 
Maelezo yako yanaeleweka lakini mtu kuja na blaablaa za Tarangire ni uzushi mkubwa
 
Imeripotiwa na gazeti la Mwananchi kuwa, April 29, mlima hanang umemeguka tena na maji kufumuka na kuleta mafuriko makubwa tena,

Hivi tukisema, volcano inajiandaa kuripuka tutakuwa tumekosea?

Kwanini wananchi wasihamishwe?
 
Na hakuna tv inayoripoti!!?

Serikali itakuia imechoshwa majanga ni mengi na haijajiandaa na majanga makunwa kama mafuriko kwasasa!!

Wananchi wasitegemee serikali itakua imeshindwa kutatua KERO zote!

Wajiongeze!!

NAWAZA KWA SAUTI YA PM MAJALIWA
 
Wajiongeze wa Hanang pekee au wa Milima yote yenye viashiria vya volcano kama Meru na Kilimanjaro?

Na hapo ndipo tunasema, Serikali yahitaji kuchukua hatua.
 
Na hakuna tv inayoripoti!!?

Serikali itakuia imechoshwa majanga ni mengi na haijajiandaa na majanga makunwa kama mafuriko kwasasa!!

Wananchi wasitegemee serikali itakua imeshindwa kutatua KERO zote!

Wajiongeze!!

NAWAZA KWA SAUTI YA PM MAJALIWA
Muleba pia imeripotiwa maporomoko ya udongo na kufikia nyumba Saba,

Kiufupi majanga ni mengi akiendelea kulazimisha kukikalia KITI ilhali mbingu zimemkataa.
 
Back
Top Bottom