Wadau Mimi nilikua nawazo kwa Serikali kuhusu miundombinu ya Barabara Nchini.
Barabara ndio kila kitu kwa mwananchi Ili afike pale anapotaka kufanya shughuli zake.
Wazo langu nikuwa Serikali inatakiwa iangalie sehemu zenye watu wengi au makazi waweke Barabara zenye kiwango cha Lami Ili kuwarahisishia we watu kwenda makazini.
Mfano walimu na wanafunzi wanapata shida sana kufika mashuleni mapema inawalazimu wachelewe Barabara ni mbovu hasa kipindi hiki Cha mvua kwasababu wanateseka mno!
Ukiachana na walimu na wanafunzi turudi huku kwa na watu walioajiriwa kwenye ofisi za serikali watumishi wanachelewa kazini kwasababu ya Barabara mbovu hasa kipindi hiki Cha mvua.
Hivyo kuhudumia wananchi inakua changamoto pia.
Wafanyabiashara pia navyo hivyo hivyo wanateseka Barabara mbovu kufika kwenye ofisi zao mapema inakua changamoto sana.
Kwahivyo mapato yanashuka kwa mfanyabiashara na kwa mamlaka ya mapato pia.
Hivyo hivyo mapato yatakua madogo kwasababu biashara imeathiriwa na mvua changamoto kubwa ni Barabara.
Kwa Watu wanafanya kazi ya kuleta mazao kutoka kijijini kuja mjini wanapata shida Sana kusafirisha hayo mazao Barabara mbovu wanakwama hivyo kuchelewa kufika masokoni nakufanya huku mjini vitu kuwa adimu na kuuzwa bei kubwa!
Kwanini Hawa viongozi wanaoenda nchi za wengine kama Marekani, Uturuki na kwengineko kwani hawatamani maendeleo kama ya wenzao huko kwenye nchi wanazoongoza jamani?
Kwahiyo ushauri wangu kwa serikali ijenge barabara za kiwango cha Lami kwenye sehemu muhimu kama kwa wananchi Ili ichochee maendeleo kwenye nchi na kwa wananchi kiujumla.