technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.
Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?
Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.
Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.
Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.
Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.
Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.
Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!
Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!
Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.
Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.
Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!
Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.