Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

Badala ya kuhangaika na mshahara wako unahangaika na mitoto ya watu. Kama mzazi wake kashindwa wewe ndio utaweza, maadili uanzia nyumbani.
Pana Mwalimu alikuwa akituambia msome msisome shauri yenu mshahara wangu upo pale pale.
 
Hawa watoto wa siku hizi wangekuwa wanatembezewa still kama zamani Hakuna angeenda shule.
Yaani mtu unajaradia godoro kabisa au maboksi, yaani upite siku tatu ujalambwa bakora ukatambike.
Kuna1. Kuwahi namba, usafi, masomo unakwepea wapi
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
Hapa leo umechemka.Watoto kupewa zawadi ya viboko wanapopotoka,ni haki.Ila haki iendane na sheria na vigezo vya kuchapa i.e maeneo ya kuchapwa,idadi ya viboko,eneo la kuchapwa na kuzingatia umri na afya ya mtoto.Umeeleza kuhusu jeshini au kunginepo,hao ni watu wazima.Halafu jeshini wanaenda watu wazima na sehemu kubwa ni mazoezi na si "adhabu"!Mtoto kupigwa fimbo kwenye nyayo au kukandikwa mangumi,makofi na mateke hovyohovyo unadhani ni sawa?Umeenda mbali hadi kwenye ushoga.Sasa ushoga unaaanzaje kwa mtoto asipopigwa mafimbo kama ng'ombe?🤔🤔🤔🤔🙄🙄
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
Selikali itafata ushauli wako na KUMLEJESHA Mala moja 😁
 
Pana Mwalimu alikuwa anapiga stick usiombe. Unalala kifudifudi juu ya meza aisee halafu unalabwa kama tano za nguvu za fimbo ya mpera hizo za kuonjwa bado fimbo zenyewe.
Kosa kwann umefuta.
Anakwambia " kwea kwenye meza ya bwana" ukishika tu au kujitikisa tu, umefuta anaanza stiki upya.
Na baada ya shule unatumwa upeleke vitu vya sokoni nyumbani kwake.
 
Pana tija anakuambia " nyungu juu' unaingiza kichwa chini ya kiti matako juu unalambwa stiki balaa
 
Nikweli miaka ya zamani tumekula fimbo sana tu na mimi ni mmoja wa wanaopinga kabisa kufuta fimbo shuleni kwasababu zinamsaada mkubwa hasa kwa kizazi hiki,ila namna ya uchapaji kama ule haikubaliki kabisa,mwanafunzi aadhibiwe ila siyo kwa namna ile HAPANA.

ANGALIZO KWA WAALIMU
MIaka yetu sisi tulikuwa strong sana, tofauti na vitoto vya siku hizi,kutokana na mabadiliko mengi ya kimaisha,vitoto vingi ni dhaifu sana,kuweni makini jela zinawaita japo adabu havina kabisa ila ni spana mkononi.........
 
Wewe ndio pimbi kabisa aisee. Yaani unafurahia mtoto kuteswa vile kwani huyo mwanafunzi akifeli wewe mwalimu unapata hasara gani? mbona shule zetu hizi za kishua hakuna adhabu kali na wanafaulu/ hiyo nguvu ya kuchapa na kutoa adhabu waitumie kufundisha wataelewa tu
Nani kakudanganya kwamba adhabu hakuna wewe ndiye pimbi kweli unataka uliwauliza wakambie kwamba adhabu zipo au wewe uwa unashinda hapohapo shule ?

Sema nafasi ya kukosea ni ndogo kulinganisha na kayumba fc
 
Wewe ndio pimbi kabisa aisee. Yaani unafurahia mtoto kuteswa vile kwani huyo mwanafunzi akifeli wewe mwalimu unapata hasara gani? mbona shule zetu hizi za kishua hakuna adhabu kali na wanafaulu/ hiyo nguvu ya kuchapa na kutoa adhabu waitumie kufundisha wataelewa tu
Kwan nia ya mwalimu yyte kumchapa mtoto Huwa ni ipi? Tuanzie hapo kwanza
 
Unasema shule ni amri!! Kwa hawa BAADHI YA walimu wanaolawiti watoto!!!??? Walimu HAWAJAKATAZWA KUCHAPA WATOTO wachape kwa kufuata SHERIA, KANUNI NA TARATIBU zilizopo.
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
Hakuna mtu aliyekataa mtoto akikosea asichapwe. Kosa ni mwalimu anamchapa sehemu gani ya mwili kama sheria inavyoelekeza. Mfano wewe mwanao akikosea achapwe hata viboko vya machoni au kwenye ulimi uko tayari kukaa kimya.

Pia kama suala la kufeli kwa mwanafunzi asipochapwa, kwani wanafunzi wa wenzako wakifeli kwa sababu hawakuchapwa wewe inakuhusu nini au unafaidika na nini wakichapwa halafu wakafaulu.
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
 
Attachments

  • IMG_7873.MP4
    17.6 MB
kama hawaelewi achana nao utakuja kuua kitoto cha watu ukanyee ndoo bure na ajira unapoteza. Kikubwa wewe ingia darasan fundisha,elekeza kisha kakae sehemu unywe double kick yako taratiiibu
Hivi unajua kama walimu wameandikishwa mkataba wa kufaulisha wanafunzi wote?Ukifelisha kazi huna,na ukuadhibu kazi huna.Na mtoto kumfundisha bila viboko aisee watakutia na vidole.Kuwa mwalimu ktk nchi ya kidemocrasia ndo utajua
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
Naunga mkono hoja
 
Sijajua kuhusu fimbo za miguu, sijawah muchapwa hizo. Ila fimbo zingine sehem za mwili ni matan ya fimbo. Sisi ilikua ukikosea homework kwanza unaanza kichura chura huku mianzi ya mgongo inalambwa hapo tena mianzi kweli kweli mwal anapiga kama anaua ila ilikua sawa ilitupa discpline .wiki nzima maumivu. Ilifika wakat unapigwa fimbo mikono haiwez kushika peni mwez mzim inauma.enzi hizo ukimuona mwalimu Evodi au mnuo unakojoa.kabla ya adhabu. Ila hadi leo vijana tumenyooka.nasema fimbo ziendelee
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
Moja, binafsi namuwaza aliye kuwa anarecord wakati mwalimu mkuu akitekeleza majukumu yake alikuwa na lengo gani?

Pili, Huwezi fundisha watoto watukutu kwa kuwabembeleza, hujafanya zoezi utaadhibiwa! Mbona hajaadhibu shule nzima? Kwanini adhibiwe yeye?

Tatu, uliye share hiyo video ya mwenzio akitekeleza majukumu yake, pasipo shaka yoyote kasherehekee maumivu ya mwalimu mkuu na wategemezi wake.
 
Ifikie wakati watu wakubali tu ukweli; kazi ya ualimu ni ngumu sana. Na kimsingi walimu wanatakiwa waishi kwa tahadhari kubwa.
Kweli kabisa, hii kada sio kazi tu, hata mazingira ya kazi ni magumu ukilinganisha na kada nyingine. Nafikiria tu siku za usafi, namna waalimu wanavopigika huki na huko kusimamia hili, kada nyingine, kazi kama hizi zinatolewa tenda, kampuni binafsi zinawaibika. Poleni sana.
 
NAMKUMBUKA DR. MACHUMU PALE DUCE KATIKA EP 101 ".. Corporal punishment should be allowed in our school?..."
Asee mtoto anapokosea anapaswa kuhadhibiwa as long as bdo atakuwa salama kiafya..
Nmejifunza haya kupitia hili...
1.Watoto wote baada ya kuhadhibiwa waliweza kutembea bila shida yeyote
2.Mwalim aliwaadhibu wanafunzi kweli kwa lengo la kuwakomesha wasirudie Tena hiyo tabia.
3.Kizazi tulichonacho sio sikivu Wala sio tiifu
MY OPINION: Mwalimu arudishwe kazini anastahili kuendelea na majukum yake ya kila siku.
 
Back
Top Bottom