Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

Niliwahi kulambwa viboko 30 na walimu 10 plus kichura na pushapu.
Pole sana
Je kwa adhabu hiyo uliacha kufanya kosa tena mpaka leo?
Je mzazi wako angeitwa na kuambiwa ulichofanya usingebadilika au kupiga ni suluhu?
 
Imrejrshr ili akaendrlee kuua watoto wa watu, huyo mwalimu cha kumsaidie wamtibie ugonjwa wa akili, mtu alie timamu hawezi kumpiga mtoto namna ile
Utakuta nae alipigwa sana tena huenda kapigwa kichwani sana mpaka ubongo umepata hitilafu

Je unajua ya kuwa wauwaji wengi na wakorofi na majambazi na wenye roho mbaya ni wale ambao wamepigwa sana udogoni bila huruma

Shule anapigwa na akienda nyumbani anapigwa na baba na kaka zake pia

Nina mashaka hata manesi wengi ni wagonjwa wa akili kwa kipigo

Nitafanya utafiti wangu kwa kuwauliza maana kuna mwanasheria mmoja [emoji631] alifanya utafiti kwa wauwaji waliopo jela na kufanikisha kusamehewa kwa baadhi na kupelekwa hospital badala ya jela
 
Umeongea jambo kubwa sana, kuna wakati tulikua tunafanya mradi fulani ambao ulihusisha health care workers na spesifically nurses, sasa tulipoenda Kigoma tulizungumza na manesi na ile siku ya mwisho wa seminar tukawaomba manesi waandike jambo lolote ambalo wanajutia kuwafanyia wagonjwa na mpaka sasa linawacost/wanajutia....na tuliwapa karatasi tukawaambia wasiandike majina yao wala vituo vyao vya kazi ili kulinda privancy zao

Kiukweli wakati tunasoma zile karatasi tulijikuta kila mtu analia anashindwa kuendelea kusoma, manesi wana roho ngumu sana na wengine wameua kwa makusudi, wamesababisha vilema vya maisha na ulemavu wa kudumu kwa sababu ya hasira, msmbo magumu sana wagonjwa wanapitia kwa sababu ya manesi

Siku nikipata muda nitakuja na uzi nisimulie baadhi ya visa ambavyo vilinifanya nikalia sana
 
Shule sio jeshi wewe. Kuna taratibu zimewekwa jinsi ya kumuadhibu mwanafunzi baada ya kutokea walimu wengi wasiyo na maadili.
 
Daa Eeh Mungu tunusuru, najua mliumia sana kwa Habari zao hizo
Mimi niko nje ya nchi na matukio yanayotokea huwa wanayafuatilia kwa kina na undani zaidi mpaka wapate mwisho wake na kulitatua au kusaidia kwa kiasi kikubwa

Kweli kuna watu makatili mpaka unasema hawa sio binadamu

Kwa muda wako hebu msome Dr Harold Shipman
Nilikuwa London mwaka 2000 wakati kesi inaunguruma
Huyu mzee aliuwa wazee wengi sana na alikuwa anawachoma Sindano za sumu huku akifurahia jinsi wanavyokufa
Alimaliza karibu kijiji

Wauguzi wanatisha sana they are capable of doing anything

Hebu jitahidi uandike huo uzi nasi tuchangie
 
Nitatenga muda nimsome huyo Daktari
 
When its right, its right haijalishi wangapi wanakubali. Like wise when its wrong. Hapa umeongea kweli tupu. Sisi wengine tunajua wenyewe tuu fimbo zimetusaidia kiasi gani. Mtoto wa kiafrika bila mjeredi, humuwezi.
 
Kuna Mwalimu alikua anaitwa Madafu.Huyu alikua anapiga fimbo hadi 70 kwenye matako ya Mwanafunzi
 
Sasa kama unataka afeli unampeleka shulen kufanya nn?
 

HUO NI USHAURI AU POVU NA AMRI
 
Hatujakataa pili atujajuwa kosa alilofanya mwanafunzi tatu viboko havikuwa na idadi kamili angemchapa tatu ingetosha , ila walimu akishakuchapia ofisini mbele ya walimu wenzake mbona utakoma , , ile adhabu ilitakiwa mbele ya wanafunzi wenzake ili wajifunze ,pale alikuwa anachapia sifa full stop ni haki afukuzwe, nimesoma shule walimu walikuwa wanachapa kingese tena usiombe walimu wa kike wapo karibu siku iyo mtaomba pooo, yani mpka wanatuombea msamaha,
Ila ni fimbo za matako nasi tulikuwa tunavaa vijinsi ndani na vibox juu ila zilikuwa zinaingia haswa
 
Ila ufaulu wenu ulikua hafifu. Wanafunzi wengi walikimbia au kuacha shule kisa viboko. Halafu mpaka leo sindo hao wanafunzi wa miaka ya 50 ndio wanatuongozea nchi na wameshika maofisi? Unaona namna tulivo ktk umaskini sasa? Kisa nyie... viboko havifai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya ni vile alivyomkanyaga miguu pia.

Binti yangu aliwahi chapwa fimbo sabini hapo kiluvya.
Niliziba masikio na mdomo kama sijasikia kitu. Nilimlaani yule ticha

Sasa ni lecture assistant huko
Bila yule ticha mwanao angkuwa kasharibiwa zamani

Mshukuru mwalimu kwa kusaidia kumpata huyo assistant lecturer ambaye technically nae ni mwalimy no matter her professional.
 
Bila yule ticha mwanao angkuwa kasharibiwa zamani

Mshukuru mwalimu kwa kusaidia kumpata huyo assistant lecturer ambaye technically nae ni mwalimy no matter her professional.
Oh... hell no
Mm nakwambia viboko nilivochapwa hamna kitu vilinisaidia. Zaid vilifanya nichukie masomo. Na walim walionichapa zaid ndio nilikua masomo yao sifanyi vzr...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inafaa uchunguzwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…