Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,265
- 2,252
- Thread starter
- #61
Kwa sasa kuna watu wanaweza kuona hiki kitu hakina maana, lakini muda ukifika kila mtu ataona, kwenda na mabadiliko ya nyakati ni kitu muhimu kwenye mipango endelevu.Niliwai fuatilia hili DAWASA .Technology ya Israel Gallon Moja la maji(5ltrs) ni garama ya chini kuliko Garama za kuzalisha 1 Gallon toka Ruvu hii ilikuwa 4 yrs back