Wazo zuri,hata pale mbele kidogo pana Zebra crossing nayo pia ni chanzo cha foleni,wangetakiwa kuweka flyover kama ile ya Buguruni ingesaidia sana...Naomba kushauri serikali iondoe kituo cha daladala cha ubungo river side kwani kinasababisha foleni isiyo ya lazima.
Ubungo kuna flyover lakini foleni inayosababishwa na kituo cha riverside kama unatokea Buguruni inaondoa kabisa ladha ama raha ya uwepo wa ile flyover...
BravoSio waondoe,kiendelee kuwepo ila Kipanuliwe na machinga watolewe ili kiwe na nafasi
Huu uzi mwingine.. 😅Sio waondoe,kiendelee kuwepo ila Kipanuliwe na machinga watolewe ili kiwe na nafasi
Riverside Kuna population kubwa Sanaa halafu anataka pasiwe na kituo? Wale raia wa makoka ubungo watashukia wapi?Kwa hio wananchi wa river side watatumia kituo gani?
toa mbadala
Wanajiangalia waoRiverside Kuna population kubwa Sanaa halafu anataka pasiwe na kituo? Wale raia wa makoka ubungo watashukia wapi?
Tena hiyo zebra ndiyo ulaji wa traffic wanavizia pale hatariWazo zuri,hata pale mbele kidogo pana Zebra crossing nayo pia ni chanzo cha foleni,wangetakiwa kuweka flyover kama ile ya Buguruni ingesaidia sana...
Kuna baharia mmoja anavaaga kofia la pikipiki muda wote. Aisee. Na mwingine bonge black hivi.Tena hiyo zebra ndiyo ulaji wa traffic wanavizia pale hatari
Zamani wakikuwa wanakaa pale mataa ya extenal.Kuna baharia mmoja anavaaga kofia la pikipiki muda wote. Aisee. Na mwingine bonge black hivi.
Huyo huyo mwenye kofia, kinatabia mbaya hatari.Kuna baharia mmoja anavaaga kofia la pikipiki muda wote. Aisee. Na mwingine bonge black hivi.
Subiri kwanza mpaka Kafara ya Ajali kubwa na mbaya ikitokea hapo na Kuua kama si Kuchinja Watu sana Kitahamishwa upesi sana tu sawa?Naomba kushauri serikali iondoe kituo cha daladala cha ubungo river side kwani kinasababisha foleni isiyo ya lazima.
Ubungo kuna flyover lakini foleni inayosababishwa na kituo cha riverside kama unatokea Buguruni inaondoa kabisa ladha ama raha ya uwepo wa ile flyover.
Kutokea Mwenge kwenda Ubungo hakuna kituo hivyo hakuna shida, shida iko Ubungo riverside ambako kuna vituo viko barabarani. Asubuhi ni shida na jioni ni shida.
Nashauri Serikali iondoe kile kituo ama ikiingize ndani ili kulazimisha daladala kuingia ndani badala ya kushushia watu barabarani.